angalia kwa makini picha hii. karibu viatu vyote ni vipya (si mtumba) kwani kuna viwanda kadhaa vinavyotengeneza viatu aina zote hapa hapa bongo. viatu hivi vina soko kubwa sasa kwa vile mitumba imepanda bei kutokana na ongezeko la kodi bila shaka kulinda soko la ndani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kama ndio hivyo ni vizuri sana kwasababu mfanyabiashara wa ndani atapata faida.

    Ongezeko la kodi liwepo ktk bidhaa zote zitokazo nje ya nchi ambazo ndani ya nchi watanzania tunazitengeneza ili kumlinda mtanzania na bidhaa zetu.

    Mwisho, Mmeiona hiyo transformer hapo juu kweli ni hatari sana na hii inaonesha bado wafanyabiashara wengi wa ndani ya nchi wanavyo fanya biashara kwa hali ngumu. Wangepewa mikopo ili waweze kufungua kitu cha maana na salama kama maduka.

    Nashukuru,
    Copyright 2006 MK. All rights reserved

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...