mchezea nyoka wa kisukuma akifanya vitu vyake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Wachina wakiona hivi mate yanawadondoka kwao huyu chatu ni mboga, yaani wanaona kama vile unacheza na bonge la jogoo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2006

    Jee ni huyu nyoka wa miujiza anayetumiwa na kina Rupia? maana kwa juju wasukuma wale ndo wenyewe. Kali hii.

    ReplyDelete
  3. Kessy inamaana jamaa kwa juju hata dada yako anaweza kumchukua?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2006

    Rhxoqsa, yani nataka dada zangu, binamu na rafiki wa karibu wa kike wakae mbali na wasukuma hawa, hasa Rupia. Maana hapa mjini waungwana wengi wanashangaa anavyoopoa wakina dada wakati sifa zake chafu sana, Rhxoqsa ndugu yangu nadhani umeona tangu Bulogu hii ya Kimataifa ya Bwana Michuzi imeanza wamechambwa wengi tu, hasa Rupia. Maana ni kati ya wale moto wa kuotea mbali. Na kinachofanya sasa waungwana wamini ni Juju, sababu ni kwamba tabia zake zajulikana lakini bado ana uwezo wa kuwagilibu dada zetu. Karibuni alipowasili Shaggy hapa mjini alionekana na Sinare girl, inaaminika anatia kinyemela, na kuonekana mara kwa mara kwenye gari. Lakini ana wengi huyu Mkenya, sifa zake si rahisi kupata si mbongo. MTZ mwingine ambaye msomi, ana sifa nzuri anaishi Ughaibuni lakini kagibuliwa naye ni miongoni mwa mlolongo huo. Na unavyojua wabongo hawamkopeshi mtu, haiwezekani hawajamtonya, ndo maana imebainika wana juju hawa, la nguvu la kisukuma. Shukrani ndugu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2006

    Michuzi hii ni picha safi sana!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2006

    wee KESSY
    Lazima RUPIA alikutia halafu akakutosa, ndiho maana una donge

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 14, 2006

    ASANTE SANA DADA AU KAKA HAPO JUU, NAFURAHISHWA SANA NA HUU MTANDAO WA KIMATAIFA MAANA KWA MAMBO YANAYOLETWA HUMU, WATU WANATOA DATA ZAIDI HATA TUSIZOZIJUWA-- KWAKUWA MIMI NI MWANAUME, (NA HAIWEZEKANI UKAZANI HILI NI JINA LA KIKE) SASA UMENIFUNGUA MACHO. DUH! KWAHIYO PETER RUPIA ANATIA HATA NJEMBA????? HII KALI, KUMBE ANATIA WANAUME PIA. DUH! HATARI, ANAKULA MBELE NA NYUMA?????

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 18, 2006

    MICHUZI PICHA YA JANET KAHAMA, TUNAISUBIRI KAKA. FANYA MAMBO YAKO. NI MTU AMBAYE HANA UTU MNYAMA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...