rais mstaafu bwm akimpongea mc gadna g habash kwa kazi nzuri wakati wa harusi ya ali makamba karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2006

    Michuzi nakuja kuoa karibuni nataka huyo jamaa hawe mc wangu je naweza kupta contacts. Naomba nijibu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2006

    Kuna siku ilinifurahisha pale mkapa alipotetea bado uhamuzi wake wa kuuza mashirika ya umma kama karanga hata bila kufikiria/ushauri wa kutusha. Mimi nafikiri kila mtu anaweza kufanya kosa bila kujua na kukiri kuwa mikataba ipitiwe pale walipokosea waparekebishe lakini huyu jamaa bado tu anaona alifanya vizuri. Ananitia kizuinguzungu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2006

    jamani kama kuna kitu kinatia uchungu ni ile migodi na vitalu vya kuwindia yaani jamaa wanavuna kama vyao

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2006

    Jamani huyu mzee mk(mkapa) anapatikana wapi angalu animegee na mimi zile raslimali alizovuna wakati wake?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...