mh. dk. asha-rose migiro akimpongeza mnadhimu mkuu wa jeshi la wananchi bongo luteni generali davies mwamunyange huyu meja jenerali shimbo ambaye ni mkuu mpya wa jkt akipiga chebo. ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2006

    wewe kama mwandishi wa habari naomba utufafanulie kwa nini huyu mtu aitwe daktari

    ID No.: MEMBER'S PICTURE
    Salutation:
    First Name:
    Middle Name:
    Last Name:
    Member Type:
    Constituent:
    Political Party:
    Office Location:
    Office Phone:
    Office Fax:
    Office E-mail:
    Member Status:
    Start Date:
    End Date:
    Date of Birth

    --------------------------------------------------------------------------------
    EDUCATION
    School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
    AMO Training School - KCMC Advanced Diploma in Clinical Medicine 1985 1987 ADV DIPLOMA
    Medical Assistant College - Bugando Diploma in Clinical Medicine 1975 1977 DIPLOMA
    Korogwe Girls' Secondary School Secondary Education 1969 1972 SECONDARY
    ST. Annes Girls' Primary School Primary Education 1966 1968 PRIMARY
    Mswaki Primary School Primary Education 1962 1965 PRIMARY

    --------------------------------------------------------------------------------
    CERTIFICATIONS
    Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
    No items on list

    --------------------------------------------------------------------------------
    EMPLOYMENT HISTORY
    Company Name Position From Date To Date
    Ministry of Health & Social Welfare Deputy Minister 2006
    RAS-Dodoma Ag. District Medical Officer 1992 1998
    Dodoma Region Medical Officer 1992 1998
    Tanzania Parliament MP's Medical Doctor 1992 1998
    Dodoma Region Senior Assistant Medical Officer 1987 2000
    RAS-Dodoma Medical Assistant 1977 1985

    --------------------------------------------------------------------------------
    POLITICAL EXPERIENCE
    Ministry/Political Party/Location Position From To
    Chama Cha Mapinduzi - CCM Member, UWT National General Council 2003 2008
    Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Regional Exec. Committee & NEC 2002 2007
    Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Parliament of Tanzania 2000 2005
    Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of the Regional Political Committee 1997 2005
    TANU Youth League Member 1966 1968

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2006

    Labda katunukiwa na Chuo kwa sababu fulani

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2006

    Anony wa kwanza, naona umechanganya wasifu wa Dr. Asha Kigoda na ule wa Dr. Asha-Rose Migiro. Asha Kigoda ndiyo AMO (Medical Assistant) na yes alikuwa Dodoma Hosp. Sijui kwanini anaitwa Dr au daktari.
    Asha-Rose Migiro ni PhD holder wa Law na alikuwa Faculty of Law UDSM, kabla hajaingia siasa. Aliye kwenye picha juu ni Dr. Asha-Rose Migiro.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2006

    Nakubaliana na Anony wa july 05, 2006 7.13PM ni kweli kabisa DR. Asha-Rose Migiro ni PhD na alikuwa Law faculty, Vile vile wote walio na AMO huwa wanajiita Dr au daktari kama huyo Dr. Asha Kigoda. Vile vile kuna anony kakumbusha kitu cha maana (july 05, 2006 5.44Pm) kuwa kuna watu wametunukiwa kama alivyokuwa rais wetu mstaafu Mkapa pamoja na kwamba hakuitumia.

    Vile vile kuna PhD waliopata baada ya kwenda Pre doctorate(Pre-PhD) ya kuandaa watu kupata scholarship au pre- university/pre-form one kwa jina lililozoeleka tanzania kwa wanaopata uzoefu katika field fulani ili wasome.Hii huwa ni kwa watu waliosoma muda wanataka kupata uelewa hili kukabiliana na kozi inayofuata nao tanzania baada ya kumaliza kozi hizi wanajiita Dr.(PhD).

    Kwa hiyo Dr kama baadhi walivyoeleza kwa tanzania ni tofauti kabisa na maana harisi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 06, 2006

    JAMANI WACHENI HAYO YA HUYO ASHA WHATEVER! INGIENI TU KWENYE HIYO WEBSIDE YA BUNGE LA TANZANIA, MUWACHAMBUE. MTATOA VITUKO! BORA WACHENI TU! KUNA MMOJA ETI KASOMA PRIMARY SCHOOL MIAKA YA THEMANINI
    KWA MIAKA MINNE! I MEAN HELLO! WANAKUJA HUKU HATA HIYA ENGLISH WANAOONGEA NA WAZUNGU "IS GRAMMATICLESS!" WAKISHACHOMOA NA KUSHAGEUZA.... NDIO MAANA TUNACHEKWA NA KURUDI NYUMA AFRICA! KUMKOSOA MKUBWA NI KINYUME CHA SHERIA! HA HA HA! KUFA HATUFI CHA MOTO TUNAKIONA WABONGO!!

    ReplyDelete
  6. Hizi PHD na mambo mengine mimi siamini ndio jambo lakushangilia sana. Haya ni mambo ya shule za wazungu. Nawajua watu kibao na PHD zao na hawawezi kukueleza kitu cha maana. Kusoma ni bomba lakini haimaanishi Dr Remmy hawezi Kumfundisha Profesa Fulani. Je mnakumbuka elimu zetu za kiafrika?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2006

    NINACHOWEZA KUWAAMBIA WABONGO KIM0JA TU! MKAE MKIJUA NA NINA WAGURANTEE! KAMA INAKUJA TUME YA DUNIANI YA KUCHUNGUZA PIRLIAMENTS, WAJE HUKO KWETU! WATAONA NI USHUZI MTUPU! KUANZIA WENYE RECOGNIZED CV MPAKA UNRECOGNIZED! KWA NINI? WHAT THEY THINK ABOUT "THE COUNTRY" NI TOFAUTI KABISA KULINGANA NA A RESPONSABLE LEDER! KUMBUKENI "CHEO NI DHAMANA." TUISHINI TU BORA SALAMA. ANAETAKA MFANO MDOGO TU KUHUSU USHUZI WA MTU ANAEITWA MTANZANIA INGAWA HATUTAKIKUKUBALI HIKO KITU.....HERE I AM!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2006

    Huyu bwana kama alivyosema ndugu mmoja hapa kuwa labda alitunukiwa PHD kwa sababu fulani. Kwanza alikuwa anatiwa na Kikwete alipokuwa boss wake, waziri na yeye Asha-Rose alikuwa naibu waziri. sio siri hapa ofisini wote tunajua ingawa wote wana ndoa walikuwa wakifanya kidogo kwa siri. Na ni wazi tulipokuwa tunatabiri wakati wa uchaguzi, tulihisi LAZIMA Kikwete akipita atampa post hii atakayoiacha yeye kuwa Rais. Na IMETOKEA. hapa bongo bwana mambo ndio yalivyo lakini inabida kukaa kimya tu, laa sivyo ukifungua mdomo, KIBARUA KITAOTA MAJANI, nashukuru kwa hii bulogu, ya MICHUZI kwani bwana tuna uhuru wa kumwaga maoni yetu ya UKWELI bila hata ya kujitambulisha jina, maana nikijulikana hapa kibarua changu kitaota majani kesho. MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 12, 2006

    Wewe Anony wa July 12 11:35:46 AM unajua unachokiandika au unabwabwaja tu. Asha-Rose Migiro PHD yake sio ya kupewa na wala haina utata. Huyu mama alikuwa Fuculty of Law UDSM kabla ya kujiunga na siasa sawa. Hayo mengine uliyoandika hayana uhusiano na utendaji kazi wake, huyu mama kati ya viongozi wachapa kazi wazuri Tz. Halafu kwa kumbukumbu za haraka Dr Asha-Rose migiro hajawahi kuwa naibu waziri kwenye wizara aliyokuwa waziri JK. Acha majungu wewe fanya kazi.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 12, 2006

    Anony wa July12, 11:35:46. POLE SANA MAANA INAONEKANA I HIT THE NERVE, NI WAZI UNA UHUSIANO AU URAFIKI NA ASHA-ROSE MIGIRO. KWA TAARIFA YAKO, NAJUA NINACHOONGEA, AMETIWA SAAAAAAAAAAAAANA TU NA KIKWETE WAKATI KIKWETE WAZIRI WA MAMBO YA NCHI ZA NJE. NIMEKOSEA KUSEMA NAYE ALIKUWA NAIBU WA WIZARA HIYO HIYO. BUT I CERTAINLY KNOW WHAT I AM TALKING ABOUT BABY GIRL. ALRIGHT?????????POLE SANA NDIO NI MSOMI SIO SIRI, NA COMMENT NILIYOIWEKA KUHUSU PHD YAKE NI KWAMBA NIMEQUESTION AU KUSUPPORT MAONI YA MTU MWENGINE HAPA JUU ( NAKUSHAURI USOME MAONI YOOOOOOOOOOOTE KABLA HUJAANZA KUTYPE YAKO. SWALA LA PHD HALIKUANZIA KWANGU. SAWA BWANA.???? TOKA HAPA. KAMA UNAMJUA BASI HUMJUI KIUNDANI. KIKWETE KUWA RAIS NI POA KWAKE.KWANI HII POST ALIAHIDIWA. NAISHIA HAPA, SINA MUDA WA WATU KAMA WEWE, OBVIOUSLY YOU DO NOT KNOW WHAT IS REALLY GOING ON, OR WENT ON IN THAT MATTER IF AT ALL WAMEACHA KUTIANA RIGHT NOW I AM NOT SURE. LAKINI NARUDIA WALIKUWA WANATIANA SANA KINYEMELA. SIO SIRI. POLE SANA.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 13, 2006

    Anony 12 July, acha majungu acha wivu kama na wewe unataka uchaguliwe kuwa waziri fanya kazi uonekane utapewa. mambo ya kuongelea kwenye blanketi hayatakusaidia. Wewe kaa na story za alinacha. Haya unayo yaleta hata unanikumbusha mbali wewe naona kama vile pimbi(kama unamjua). Sasa hivi ni muda gani hii picha ya Rose Asha imekuwa kwenye mtandao(fanya reference kuanzia apewe madaraka) au ndo umezinduka unaanza kuleta za kuletwa. Siyo siri nina uhakika kama unavyosema unauhakika hapo juu hii blog umeiona jana. Unajitahidi kujenga nyumba ambayo haiwezi jengeka pole sana. na endelea kuchapa mzigo wako hili nawe uonekane unajua watu wasiokuwa na kazi wanatumia muda mwingi kuangalia fulani leo katoka vipi. Umenyimwa uwaziri/au ukatibu wa chama nini? mpaka leo kulikoni?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 14, 2006

    INAONEKANA WAZI UNA UHUSIANO NA ASHA ROSE. BASI NI WEWE NAKUPA POLE SANA DADA. KWANI HABARI NI ZA UHAKIKA AMETOMBWA SANA NA KIKWETE. NA SI YEYE TU. MAANA SIFA ZA KIKWETE ZINAJULIKANA. ACHA TU NISIPATE CHEO HAPA NITAENDELEA TU NA WADHIFA NILIOKWA NAO KULIKONI KUTOA UCHI, ILI NIZIDI KUPANDA MADARAKA. NAMUONEA HURUMA MZEE MIGIRO (MUMEWE) ASANTE.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 14, 2006

    Dada wa hapo juu acha chuki binafsi. Hata kama ni kweli wewe kinakuuma nini alikuazima ya kwako kuwa ataichakaza sana? Acha upumbavu na majungu yasio na maana. Jipeleke na wewe uone kama utapandishwa cheo. Kama ametiwa na akapata cheo ina maana analipa na elimu anayo. Nenda na wewe na elimu yako ya ngumbaru uone hata uwe unatoa mara 24 kwa siku uone kama itakusaidia.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 14, 2006

    Anony wa july 14(1.49:42PM) umetoa point kishenzi safisana mpashe akome nyiii!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...