nyakanga wa walimbwende wa miss tz 2006 ni miriam ikoa akionekana mzigoni hapa kule bwagamoyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2006

    Bwn Michuzi, haka katangazo ka kitangoma kanaudhi sana. Tafadhali tutolee, tumeshakasoma na tumeshanunua hilo kitangoma! Natanguliza shukrani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2006

    Mwenzangu! Kila ukijisikia unalimisi leage la wabongo, ukifungua kwa Michuzi tu unaambiwa ukikike kigoma kwanza! Halafu mbona wababe wa league hawakiibukii? Ama kweli Michuzi hiyo NGOMA hawaiwezi! Wanakuonea hapa tu!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2006

    eeh bwana Michuzi eeh, mbona Nyakanga ambaye ni veteran kapendeza kuliko hata hao ma miss to be?? damn, she is like vintage wine man, unazo digits zake? namtafuta babu! halafu mi na wewe tutamalizana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2006

    Nyakanga wa walimbwende maanake nini?

    ReplyDelete
  5. Huyu Miriam alishindwa kazi voda waka mfukuza sasa hivi tunasikia yuko new africa halafu anaendeleza ufuska

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 21, 2006

    Kwani huyo miriam ikoa ni mtu gani hapa nchini, waungawana nisaidie

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2006

    Waow Kidume! Good!

    ReplyDelete
  8. kidume na wengine kunradhi, ulimi hauna mfupa

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 22, 2006

    michuzi hiloo si suala la ulimi ni vidole na vina mifupa sana kubali tuuu umechemsha brooo,kukosea si kosa kosa kurudia sasa kama usharudia mara kibao kalaghabahoo.......teh teh teh ila michuzi unatupa raha sana si mchezo tunashukuru sana.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 22, 2006

    michuzi kaka miriam ikoa alikuwa ni nani hapa nchini ,maana nimeona ameitwa veteran

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 22, 2006

    Huyu Miriam sikuamini pale nilipomuona na Mr Nice Movies jumapili moja Dar es salaam, ilibidi tuulizane ni yeye au sio yeye...waliingia wamechelewa taa zikiwa zimezimwa...wakakaa mbele yetu wakiwa wanashikanashikana, nilichoka maanake movie ilipoisha akanyanyuka haraka akaenda chooni Mr Nice akatangualia kwenye gari baada ya kama 15 mins sisi tupo nje tunapiga story na kuangalia mandhari ya bongo ilivyobadilika na inavyopendeza baada ya kukaa ughaibuni long time, ndipo Miriam alipotoka chooni fast fast na kuingia ndani ya gari Mr Nice alipokowa w........tulibaki tukishangaa tukasema OK mambo ya bongo hayo....kwa kujifichaficha....ila bado hyu dada ni mrembo jamani...

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 23, 2006

    Musa wakati hayo yote yakitendeka wewe ulikuwa unachungulia? Kama unataka kuchungulia watu wanavyofanya vitu vyao kwa nini hukwenda pale manzese hile sahemu ya tokea enzi za baba wa taifa? Make pale hakuna kiingilio ati!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 23, 2006

    KWAKWELI WABONGO NUKSI, DO YOUR OWN BRUV. KWELI NAKUBALIANA NA ANONY HAPA JUU, WEWE MUSA, WAKATI YOTE HAYO YANATENDEKA, MIRIAM KUSHIKANASHIKANA NA MR.NICE, WEWE ULIKUWA UNAFANYA NINI? KUCHUNGULIA? MAANA BASI HATA HIYO MOVIE HUKUWA UNAANGALIA AU SIYO? NI KWELI HUYU DADA NI MZURI LAKINI ANATIWA SANA NA WATU TAFAUTI, NA MWANAMKE BWANA AKIWA NA SIFA HIZI ANASHUKA HAZI, KAMA YULE MTOTO WA SINARE, LAKINI HAYATUHUSU WACHE WATIWE NDO HOBBY ZAO LABDA THEY CAN NOT HELP THEMSELVES. NA SISEMI HIVI KWA HAWA TU. WOTE MLIOWASEMA SIJUI BENI MULOKOZI, SIJUI LEO NYANDUGA, SIJUI JOSEPH KAHAMA, SIJUI CHARLES MTAWALI, INOCENT MACHA NAYE KWA UCHI NDIO MWENYEWE, JOSHEPH KUSAGA, RUGE MUTAHABA E.T.C WAACHENI JAMANI NI MAISHA YAO. SAWA?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 24, 2006

    sawa sawa braza, hao jamaa waacheni na maisha yao, sababu kamwe hawatobadilika kutokana na kuchambwa humu if anything inawaongezea umaarufu kwa bei rahiiisi, halafu MUSSA sijui paparazi maanake inaonekana huenda movie ku peep ma celebrity wa kibongo? inaonekana siku hiyo huyo Miriam Ikoa na Mr.Nice walikuwa ndio sinema yake, movie gani ilikuwa inacheza Kaka? halafu unasema unakaa ughaibuni? unatuangusha babu!!

    ReplyDelete
  15. Bwana Kidume naomba nikusahihishe kidogo. Kwa kumbukumbu zangu ni kuwa nyakanga sio mwanafunzi ni mwalimu. Nyakanga ni mkuu wa waalimu wengine ambao ndio tunawaita makungwi.
    Wanafuunzi wanaitwa waali (mwali kwa umoja). Hivyo kaka Michuzi alikuwa hajakosea.

    Na kunda ndugu alikuwa anuliza Ikoa ni nani hasa ktk ulimwengu wa warembo: alikuwa mshindi wa 2 Miss Dar '95 na alitegemewa na wengi kuwapengine angechukua na Miss TZ pia ila alikuwa mtu wa 4 kama sikosei.

    ReplyDelete
  16. ..nakubaliana na comments za hapo juu kuwa si utani Miriam bado analipa si kitoto.
    Inafurahisha kuona kuwa kidogo karudisha rudisha nyama. Maana kuna kipindi kati hapa kwa kweli uwembamba ulizidi hata kama ni umodo kwamaoni yangu ilikuwa 2 much maybe.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 24, 2006

    Kweli karudisha nyama kwenye mwili kidogo, lakini alinenepe sana, maana sisi wanaume wengine hatutaki totos iliyonona sana, tunataka kidogo potable, na alivyoonekana hapa yuko sawa, kama mmeona comments zilizotolewa za mke wa Ndugu Ben Mulokozi, kuwa anatia kinyemela kwa spring chicken, maana mke wake alikuwaga potable sasa kajiachia kajaza nyama mwilini na tumbo limesogea sana, simfahamu huyu jamaa kwa undani ila namwona kwenye jeep poa hivi. ila natamani nione mke wake yukoji, kutokana na maoni niliyoona. kwenye picha ya warembo wawili kule bwagamoyo.

    ReplyDelete
  18. kaka yangu Kidume mi bado naomba kupingana nawe. Tafsiri niliyotoa ya neno kungi nina uhakika nayo kwa asilimia kubwa sana.
    Na baadhi ya nukuu/nyaraka/machapisho yanayokubaliana nami katika mtandao ni:

    1. Kamusi ya Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Yale:
    http://research.yale.edu/cgi-bin/swahili/main.cgi?right_frame_src=http%3A//research.yale.edu/cgi-bin/swahili/lookup.cgi%3FWord%3Dchief%26EngP%3D1

    2. Tovuti ya kujitegema ya Dada Chiku:
    http://communities.ninemsn.net.au/DadaChiku/ukungwi.msnw

    Usiku wa jana nilitakiwa niende maktaba ya chuo chetu kuchukua Kamusi ya kwanza ya Kiswahili na kiingereza:
    Kamusi ya kwanza. Kiswahili-Kiingereza. Cahill, W. F., London : Nelson., 1972.

    ila tatizo nilichelewa katika shughuli fulani. Okei, unaweza kudai kuwa mwandishi wa kamusi hiyo labda mambo ya unyago na jando sio mila yake, ila mie naamini kuwa tafsiri niliyotoa ni sahihi. Kwa kumbukumbu zangu kama kijana wa Kiyao (Pure Chinga hapa heheh) na katika soma soma yangu ya Kiswahili chini ya mwalimu mmoja makeke sana Mbagala pale, naamini kuwa muundo wa unyago enzi zile ilikuwa: Mwali (waali) - Kungwi (Kungwi/Makungwi) - Nyakanga (Manyakanga) kama nilivyosema mwanzo.

    Au unasemaje Ndesanjo na waungwana wengine. Jamani mtaalamu wa Kiswahili au yeyote mwenye kamusi atusaidierhtju

    ReplyDelete
  19. naomba mniwie radghi kwa neno la mwisho. Hii talakirishi ilikuwa inaleta mapozi kidogo... nilikusudia kusema "atusaidie"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...