nikiwa na maharusi iddy na gigi godenitulipu jumamosi usiku. jamaa bomba sana hawa. pamoja na kuishi na kufanya kazi ughaibuni lakini wakaamua kuja bongo kufunga pingu za maisha. hongera sana iddy na gigi. na asante kwa kunichagua kuwapigia picha harusi yenu. MUNGU AWABARIKI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2006

    Michuzi waambie na siku ya ndoa kusambaratika(kuachana) wakuambie uende kuwapiga picha vile vile utuwekee hapa tuone.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2006

    I am so happy for you guys....you look sharp....hoping to see you soon....by the way you are so sharp you deserve your own zip code...lol!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2006

    We anony hapo juu acha wivu. Badala ya kuwaombea maisha bora na yenye raha, we waleta za kuleta. Congrats the newlyweds!

    ReplyDelete
  4. Michuzi umeweka bonge la pozi mpaka maharusi umewafunika

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2006

    wote wawili wamependeza sana msichana ni hott !!! mwanaume naye ndo loh sasa tusubiri watoto....hongereni sana

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2006

    Michuzi,
    Mbona hukuniga tai? Si unajua tena official photographer ungevaa na like koti la mkia.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 04, 2006

    Wewe acha noma, anony wa July 02, muda wa saa 7:51 pm. kwa kumsakama anony wa kwanza. noma sana wewe kwani mbona mambo halisi yalivyo ni wazi, siku hii ni ya furaha kwakweli wanahitaji kupewa hongera. lakini kama ndoa zooooooote, siku inakuja ya kusambaratika huu ndio ukweli wa mambo ya dunia hii. kwahiyo funga mdomo wako na uheshimu maoni ya watu. hakuna cha mtu mwenye wivu wala nini, hapa ndio jmaana ya bulogu hii, ingia toa maoni yako basi, cha muhimu kama walivyoonywa watu, matusi na lugha chafu hazitakiwi humu. kama huelewi maana ya bulogu hii basi usiingie.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 05, 2006

    Anony wa July 4, 12:35pm kweli wewe ndiyo limbukeni. Huyo anony unyemsakama katoa matusi gani kwani? Kwa kuwa amempasha yule mwenye wivu? Wewe ndiyo usiingie kwenye blogu. Nyie ndiyo wale wale.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 05, 2006

    Iddi and Gigi u guys look good na mungu awabariki katika maisha yenu ya ndoa.mmetoka mbali and u deserve happiness in ur married life.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 13, 2006

    ACHA WEWE UNAYEJIFANYA KUWAFAGILIA HAWA, UTAJIJU MAANA INAONEKANA WANAKUHUSU, NAFURAHI MWANANCHI MMOJA HAPA AMENENA KUWA, ANA WIVU SANA HUYU MWANAMKE. SISI PIA NI WA KARIBU NA TUNAWANYAKA SANA, AMEOLEWA KWENYE MAKARATASI UKWELI NI KWAMBA SIO PEKE YAKE. NA NGOJA FEW YEARS DOWN THE LINE. TUMWONBEE MICHUZI UHAI NA UZIMA, TUTAPATA HABARI HATA KWENYE BULOGU. KUHUSU NDOA IKO JUU YA MAWE. WIVU WAKE APELEKE CHOONI, HAUMSAIDII CHOCHOTE.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 14, 2006

    we ann wa thur 13 juky 2006.. mbona una chuki sana utadhani amekuibia mume. we unataka apewe talaka and then wht next? embu acha wivu just wish them happines and long life na utapata baraka. acha maneno mbovu.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 17, 2006

    Im so happy for these people....huu ni mfano jamani ...hawa watu wawili wanapendana...wametokea mbali sana yaani ni wachumba wa long time Iddi aliniambia nikashangaa..lakini ukweli ni kwamba...hawa watu wanapendana na wamependeza....absolutely fab...harusi yao nimeikosakosa lakini naambiwa ilipendeza sana na pia naona hapa kwenye picha..walipendeza sana...I wish them all the best in their future as husband and wife.... tunawasubiri mrudi and we will definately throw you another party..

    ReplyDelete
  13. unawasubiri warudi wapi, huo Iddy maisha yamemshinda marekani, na huyo Gigi sasa hivi atachomelewa INS na ndoa yake ya makaratasi, afadhali wabaki huko huko waliko tz hatuwataki huku, wakina janguo wametosha houston!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...