mh. amina chifupa wa mpakanjia alikuwa mgeni rasmi miss kinondoni 2006. hapa tupo mie, yeye na mwenyekiti wa kamati ya miss tz prashant patel baada ya shindano jumamosi ubungo plaza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2006

    Amina naona katoka kiafrica hapo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2006

    Na huyo aliyezamia picha kati ya Amina na Prashant nin nani? Hebu tuhabarishe...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2006

    anony wa 6.43, huyo ni mpitanjia tu. usiwe na wasiwasi hatamusogelewa mweshimiwa

    ReplyDelete
  4. samahani kwa kutomtambulisha 'aliyezamia' picha. yeye anajulikana kama boy joji ndiye mwandaaji wa miss kinondoni

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 11, 2006

    Huyo sister mbona hajamatch, atavaaje suti na nguo ya Kiafrka, hiyo haijatulia m2 wangu. Mambo ya kucchanganya nguo ndo mana


    alitolewa Bungeni, Kama vipi atafute DESIGNER basi awone akina Mwanamboka, Hassanali , Happyness Chilima kwa ushauri wa jinsi ya kuvaa zaidi.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2006

    Nakuunga mkono we wa juu yangu! Kwa kweli kama wewe unajua mambo ya kuvaa kwa designing na colours, huyo sijui Chifupa au whoever, ANACHEMSHA SANA! Yaani kama Christmas tree men" Sababu ya cheo tu ndio hata kama ikivaa gunia atasifiwa tu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 13, 2006

    Hivi alichoshika chifupa ni nguo? au ni kimzigo. make mimi simuelewi kabisa. Ndio maana hata anaamua kuvaa kofia hivi hivi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2006

    Kama nia ilikuwa ni kumechisha na viatu basi asinge jitundika hicho kitambaa badala yake angebeba handbag inayoendana na hivyo viatu!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 14, 2006

    mie kiatu chake tu ndio nimekipenda basi hahaahah

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 16, 2006

    lakini jamani mavazi mtu hachaguliwi,muacheni avae atakavyo yeye! demokrasia jamani au hatuelewi???

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 17, 2006

    Anony july 16 4.38 nukta 16, demkrashia shawa lakini ukivaa utombo lazima ushahihishwe na hiyo ndio pia democrashia. shasha hicho kitambaa yeye peleka wapi? Au alikwenda bebea mtoto? make sielewi kabisha kabisha. Hebu nieleweshe jamani!!!!!!!!!!!democrashia

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 17, 2006

    Kuna vyeo lazima mtu uwe representable bwana allah! Sio kama huyo Migiro sijui alivyokuja huku, hata tunaona haya kuwaambia watu kama huyu ni minister wetu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...