
huyu ndiye miss ilala 2006 lyidia joseph (aliekaa) na mshindi wa pili rehema mhinzi ambaye pia aliukwa ubalozi wa 'daily news' wakati anitha mlay (anaebusu) aliuibuka wa tatu wa nne akiwa veronica mande (shoto) ambae pia alishinda miss photopoint photogenic. watatu wa kwanza wataingia shindano la miss tz taifa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...