Home
Unlabelled
wapi hapa?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Salender Bridge, Kenyatta Drive, Kinondoni, British Ambassador Res.
ReplyDeleteMichuzi hapo utakuwa juu ya ubalozi wa russia. Kenyata drive hiyo kuelekea coco,na hilo ndo jengo wazee wa kazi walipofanya vitu vyao na wakaondoka na hela wakati bank imefunguliwa
ReplyDeleteMICHUZI
ReplyDeleteNadhani unakera sana unapotumia haya maneno "maiwaifu wake" "bai satadei" "kwaliti" "michuzi junia" n.k
Mimi ningekuomba utumie blogu yako hii tukufu katika kuikuza na kuitangaza lugha yetu ya kiswahili fasaha,badala ya lugha hii ambayo hata sielewi kwanini unaiendekeza kwa fani yako ya uandishi wa habari na utu uzima wako. Huwezi kujua labda kuna watalii pia wanakutembelea humu.
Ni wazo tu.
tena wewe ni editor wa gazeti gani sijui? sasa kwa kudhania kwamba taaluma yako ni kwa sababu tuu ya kazi yako na siyo maisha yako yote, unatufanya tuwe na wasiwasi juu ya utimilifu wa taaluma yako
ReplyDeleteAhh jibaba anonymous hapo juu inakuwaje mwanangu hebu mwache michuzi ajimwae mwae kidogo...Hii ni shughuli baada ya kazi...au nakosea bwa' michuzi, sasa kama shughuli baada ya kazi bado umevaa suti kubwa na tai si utakuwa dipresdi. maisha yenyewe mafupi haya, Michuzi mtu wa watu na kitaaluma amebobea. Kama wewe unakasirika kusoma maiwaifu basi usisome, hujawekewa bastola. Michuzi, uko talentedi na niuz unaijuia, achana na warombo wenye negativu koments, lete mapicha hayo watu turikol Bongo.
ReplyDeleteAnony hapo juu umeniacha hoi
ReplyDeletehao ma anon hapo juu n wakina msaki,mwaipopo na wengineo...Naona wameshaanza madongo yao tayari. Wivu unaua jamani,michuzi ni ngoma kubwa hata mseme nini
ReplyDeleteMichuzi..Mimi napenda ukitumia hayo maneno..it brings the unique factor kwenye blog yako!!Anony kama hupendi please fungua ya kwako!!Samahani Michuzi..nimesahau English not reachable...aiseee unanifurahisha!!!Endelea kuwakilisha...wenye wivu wajinyonge!!Kwenye kitu kizuri lazma watu watasema...haswa wale wasio weza kukifanya na wasio na kazi za kufanya badala ya kujadili vinavyoonyeshwa kwa maana..wanaleta zao za kuleta!!Kwa nyie mnaochukia...Anzeni sasa mimi ni mwana dada mdogo...na mkini chokoza na akili zenu mbofu mbofu...mtanikoma shuwaaaaaaaaaaiiin!!Michuziii...Endelea kutuelimisha kwa picha wananchi wenzako wa ughaibuni!!
ReplyDeleteMapanga Shaa Shaa...
Mshikaji shuka kwenye ndege ya watu sasa, unazunguka mji mzima. Sasa mbona hujato na Manzese tupaone. Hao washkaji WANAOKUBONDA waambie WACHIMBEZ we endelea kumwaga radhi kaka NAKUFAGILIAAAAAAAAAAAAAAA WATU WEWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE WATU WA WA WA
ReplyDeleteWatasema na mwisho watalala. Hayo maneno yanafaa sana na yanaendana na picha - endelea Michuzi mwe
ReplyDeleteGuys i do really enjoy this blog, it is very interesting the way admin (bwana Michuzi) anavyo toa manjonjo yake, kep it up son ... it is good to have something like thich bring serious new in easy way.. we need to loosen up after 9-5 or all those ours of formal language n every thing.........this blog inanikumbusha that time when i was at UDSM FOR MY PHD n i had to learn swahili, i was so happy when my rind posted me the link
ReplyDeleteAnymous inabidi a-chill kidogo. Hiki ni kiwanja cha Michuzi, sio gazeti la Uhuru. Kwa hiyo Michuzi anaruhusiwa kutanua apendavyo. Kuna blogu kibao mtandaoni na Anynomous anaruhusiwa kuanzisha ya kwake. Eniwei, kama hauna "sensi ya hyuma" acha kumletea Michuzi ndita.
ReplyDeleteAnymous inabidi a-chill kidogo. Hiki ni kiwanja cha Michuzi, sio gazeti la Uhuru. Kwa hiyo Michuzi anaruhusiwa kutanua apendavyo. Kuna blogu kibao mtandaoni na Anynomous anaruhusiwa kuanzisha ya kwake. Eniwei, kama hauna "sensi ya hyuma" acha kumletea Michuzi ndita.
ReplyDeleteMichuzi baba, patia ile kitu roho nataka...wachana na machili hawa. Lete mai Issa !
ReplyDeleteTrio kaka,
ReplyDeleteMimi si Jaduong Metty lakini uliposema mambo ya ndege mwarabu, umenikumbusha mbaaaali sana enzi za korido, mabati milingoti na USHI.. au sio mabo hayo??? je wewe ilikuwa miaka gani???
Hey Lonely ppl!
ReplyDeleteKama mnataka kutafuta ma old school mates wenu nandeni www.graduates.com ok!