wageni kibao hutembelea photo point

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2006

    Michuzi hii picha mbona inajirudia?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2006

    We Kigerera, na vipele usoni hivyo jamani USA ya wapi hiyo?

    ReplyDelete
  3. Jua la bongo limembabua usoni kama katoka America basi ni kama miaka miwili hivi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2006

    kwakweli watu hamjui, mhhm! kweli alivyosema muungwana hapa we Kigerera kweli wa watoto wewe? na vipele hivyo atoke USA ya wapi, hata kidogo ni wazi huyu ni wa bongo tu. Maana bwana watu waliotoka Ughaibuni unawaona wanavyowakaaaaaa na si kama huyu dada hapo juu.

    ReplyDelete
  5. Du washikaji Ughaibuni na vipele havina uhusiano.Nawaona watu kibao Ughaibuni na vipele wanavyo kibao

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2006

    Ndio ndugu Simon Kitururu, kweli kuna watu Ughaibuni wenye vipele pia lakini unajua kabisa tafauti kwa jinsi alivyokaa huyu dada si kutoka USA.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2006

    HUYO ANAETOKA NCHI AMBAYO KAPIGWA NA WINTER ATLEAST 1MONTH NA KAJA AFRICA NA VIPELE AWAAMBIE UKWELI WAKE KATOKA WAPI? AU AFYA YAKE KULIKONI!...HELOOO JARIBU KUTIA USO KWENYE FRIZER YA -5 TU, NDIO UIMAGINE HII NDIO HALI YA HEWA HUKU! PLUS WINDY AND SNO! SASA HAO BACTERIA WATAKAA WAPI USONI? HATA WADUDU WAKUBWA HAWASURVIVE! NA USO NDIO KITU AMBACHO HUWEZI KUZIBA PEKEE YAKE! SASA JAMANI JIULIZENI?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2006

    Kweli kweli jamani na huku hata kama una kipele mapruduct ya kumwaga! halafu cheap!

    ReplyDelete
  9. Ni kweli kabisa ukiwa ughaibuni halafu ukawa na vidot-com.com usoni huo ni uzembe wako

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 08, 2006

    Mimi nina African shop yangu hapa Stockholm, na hiko kilemba ninauza kwa matumizi ya kuogea waafrica wanavipenda kweli ni asili ya wenzetu wapopo hao...Lakini kulikoni bongo vilemba? Mtu wa ughaibuni asingekifunga kichwani maana anajua matumizi yake!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 09, 2006

    We Simba ulikuwa jela uhindini, hata wasiosafiri wanafundishwa shule kuhusu hali za hewa na waduu na bacteria.....huyo dada sio pumbaf" ni wewe! Pole!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 09, 2006

    Hey Simba tumeshakujua we ni nani! Yule mgambia uliomzika ametoka jela long time! anakutafuta na gun! Na mipopo si unaijua mwenyewe!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 13, 2006

    Trio Kaka. WEWE KIBOKO, na ujuzi wa computer ndo mwenyewe maana nimeclick ulipoandika tembelea "hapa" nanukuu kwenye hilo neno "hapa" data zote zimeshuka, bwana huyu dada anaweza vilevile akawa USA kama walivyonena waungwana. vipele si ajabu bwana ni maumbile tu, binadamu tupo tofauti. wengine ngozi nyororo, wengine tuna chunusi, sasa Trio Kaka. I hope nengeweza ku-afford hii treatment ya Proactive au nyingineyo yeyote tu. Lakini siwezi mwanangu. Maana nami chunusi ninazo.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 14, 2006

    Trio Kaka acha ulembukeni watu wengine bwana hata mkae wapi hamuelimiki hata iweje. Wewe lazima utakuwa limbukeni flani hivi unajiona umefika pole sana au shule ndogo maana nako kubeba mabox sana yanaharibu akili.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 14, 2006

    SHENZI TAIP WEWE UNAYEJIITA ANONYMOUS, NDIO MAANA HAMUJITAMBULISHI KWA MAJINA HALALI. PUMBAF SANA WEWE. TRIO KAKA ANAONGEA MAMBO YA MAANA NA NINANUKUU: HATA KUTOA USHAURI, KUTOKANA NA ALIVYOGUNDUA NA KUTUMA PROOF, KAMA NILIPO-CLICK LINK YAKE NA KUJIONEA MAMBO. WATU KAMA NYIE HAMTAKIWI KWENYE HII BULOGU YA MICHUZI. INGIA HUMU UCHANGIE KITU CHA MAANA SIO KUSHAMBULIA WATU. HUJALAZIMISHWA KUSOMA AU KUCHANGIA, KAA PEMBENI, UZIUZI WATU HAPA. Trio Kaka, mwanangu, asante. lakini umri wangu ni mkubwa kwahiyo kama ulivyosema, cream na lotion tu hazitasaidia maana it is what I have been using all my life. Kwa maana hii sasa itabidi tu nijipige nitafute hata msaada kwa wafazili, nipate hii treatment nyingine maana chunusi zangu ni sugu. Asante Trio Kaka. Achana na washenzi kama huyo Anonymous, maana anaonekana limbukeni ni yeye. maana mtu mwenye elimu hawezi kushambulia watu hivi. Hata kama Trio Kaka anabeba mabox, inakuhusu nini? maadamu ni kazi ya uhalali, sio kuwa mwizi au tapeli ukaishia jela. Jiheshimu dada. Tafazali.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 15, 2006

    We Trio na Kwasa kwasa sijui u r so stupid! vitu kama hivyo ulizeni google bwana! awaletee maelekezo kutuka kwa maspecialist man"! Hatutaki kusoma vipele hapa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...