bitebo akijiandaa kumla kichwa amigoras, kiongozi wa twanga pepeta kabla ya kwenda uzinduzi wa albamu yao ya nane jana pale dayamondi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi huyo dada mewernye nyeusi ni kinyozi naye ama mtandaji wa warembo! niliwahi kukutana naye Mwanza sijui nakosea?

    ReplyDelete
  2. mh! sista duu mwenye nyeusi, chungu anacho.

    ReplyDelete
  3. Huyo Amigos ninashangaa mashangingi wa Bongo wanavyomfanya king'asti mpaka leo wakati anazeeka na kinanihii chenyewe ukiguna tu chafyatuka! Haloo! Au ndio huo ucongo anaowadanganya nao? Kwao Kigoma huyo.

    ReplyDelete
  4. Sasa ina maana wewe jamaa alishakupakua kisamvu cha kopo ndio ukajua undani wake, inaelekea alikutema na roho bado inakuuma. Kama mashangingi (kama wewe) wanampenda wewe inakuwaje pale?? hakuna noma kamwombe msamaha andelee kukupakua

    ReplyDelete
  5. Hawa watu wanaovunjia heshima watu dawa yao ni kuwatukana hivyohivyo safi kabisa

    ReplyDelete
  6. Duh! jamani jama? ina maana bongo ukisema kuwa wewe ni mkongo tuu basi, unatimua vuzi upendavyo?

    ReplyDelete
  7. Akaah! Jamani sifichi mie sio siri kanipakua sasa ningejuaje? Ukweli ni kwamba Nilimchukua tu kama mchat 1994 wakati nilipokuja huko Bongo kutembea, wakati anapiga na wakina Kinguti sikumbuki ilikuwa band gani, na niliwatomba wote. Nilitaka kutoa uchafu wangu tu, na nilitaka kuona hiko kilichokuwa kinafanya wakina mama wake za watu watupiane chupa. They are not my MEN type!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...