Home
Unlabelled
bunge
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ningefurahi kama zile slums za manzese nazo zingebadilishwa. Hivi jamani national housing kazi yake ni ni sasa, wanaenda kujenga nyumba maporini boko kule ambako hakuna hata maji badala wajenge nyumba uwanja wa fisi ambako kuna urbanisation wanaenda bunju
ReplyDeleteSasa national housing wasipoenda bunju, unadhani mji utapanukaje? au mnataka mji uwe ilala na kinondoni tu?
ReplyDeleteNamuunga mkono anony wa kwanza. Mji lazima waurekebishe kwa kuwajengea wananchi wasiojiweza na kuupanua zaidi.
ReplyDeleteSerikali yetu ina uwezo huo. Sisi wakazi wa nje ya nchi tulishaongelea kununua mji na kujitolea kuujenga, kama Raisi wa zamani wa Ghana alivyowafanyia waghana wanaoishi ughaibuni. Swali linakuja, na watu wa mikoani je? Kwani sisi wazaliwa wa Dar huwa hatukawii kusahau kama watu wa mikoani ni watanzania pia, ndio maana wote wanakimbilia mjini.
Trio kaka usifananishe miji ya Europe na yetu huku. Wao wenzetu serikali yao iko sana makini na kuwatambua kila mwananchi, ndio maana kila raia ana ID number. Na nyumba zao aimejengwa kwa kila mwananchi na mahitaji yake muhimu f.x: Choo, jiko, vyumba vya kutosheleza family. Na kila mtu ana anwani yake sio p.o box ni mahali pako umapoishi, ndio maana ni rahisi kwa serikali zao kuwahudumia wananchi wake, na pia kujua ni nani kaingia au kutoka. Sisi huko ile plan ya nyumba za mji ni vyumba sita! Choo kimoja watu wote! Jiko moja watu wote! Na idadi ya family inaongezeka, wa mikoani na vijijini wote humo humo! ID zetu ni card ya chama! Ambayo haimaanishi kitu chochote! Inaonyesha tu chama gani kina watu wangapi! Na sio kila mtu anayo.
ReplyDeleteMimi binafsi kama kuna serikali itakayoingia na kufanya kama kwa wenzetu nilivyoona, Kwanza 50% taxi, Hospitali na shule ni bure, na kutaifisha 95% lowest ya majumba kwa kila mji, na kuvunja kuwajengea wananchi wote flat na kuwapa adress, na ID number. Na kujenga nyumba za wazee! Na shule zaidi. Huyo ndio atakayembadilisha mtanzania akaishi maishi ya binaadamu.
E bwana umeangalia picha ya juu hapo lakini, Bungeni na kituo cha treni kama New York na Mpigimagohe, si utani
ReplyDeleteTrio Kaka naanzisha chama cha kisiasa..umo, cheo kama Katibu wa kata ya Ndungumbi...just kiddin.
ReplyDeleteI feel you deeply, what we need is education, education in real sense, usable education, high tech education. We have a need for education, we have means to educate ourselves, we have theintelligence, all we need is initiation.
Ukiacha elimu, tunahitaji Technology, a cutting edge Technology. Public Library ya mji nnaoishi wanatumia Solar Power. The Library host over 5,000 patrons a day na Solar Power panel wanayotumia sio kubwa kuliko roof ya Land Cruser, just a solar panel sitting on top of the building. As a country we do not need to spend millions on research for such technology but we need to acquire it. WHite folks have invested Billions of dollars on technology, we just need to acquire it and use it. Mtera na Ruvu can be upgraded tremendously by using such cutting edge high tech...Don't tell me we don't have money, cause IMF gives us money to buy SUV's for wabunge, they can definitly give us money to buy cutting edge technology...go ahead critisize me!
jamani jamani kiingereza na kiswahili wapi na wapi?? tumia lugha moja ueleweke basi!!
ReplyDeletealichokuwa anazungumzia mmoja wapo hapa ni nyumba wazoita 'projects', low cost public houses kwa ajili ya watu wa vipato vya chini. Michenzani, zanzibar zipo, lakini ujenzi haukuisha. Uho france kwenyewe naamini wanazo, kwa hiyo huyo aliyesema wale vijana waliofanya vurugu kidogo alikosea. Kimsingi, wale watu walikuwa wanalalamikia huduma bora na mazingira bora yatakayowafanya waendelee. Tatizo la bublic housing ndiyo hilo, uwezekano upo kwamba crime itakuwa ya juu maeneo hayo, madawa, bangi, na umasikini. Surely itasaidia planning ya mji, na mimi nasupport lakini naomba tusiwe naive tukidhani hii itasaidia kutatua matatizo, matter of fact kuna matatizo mengine yatazuke kutokana na hizo projects.
ReplyDeleteTrio kaka nimekubaliana na wewe kabisa mimi mwenyewe nipo huku UK lakini nimewaona wabongo wenzangu wanavyotanua kila wkd kama vile wamezaliwa hapa yaani hawakumbuki walivyohangaika kupata visa kuja huku ni basi tu ukisema wanakuona mbaya nina marafiki waghana wao hawana mchezo na pesa wakipata kila wk nusu yake imeenda ghana kwahiyo Trio mimi nipo nao kuiga tabia ya maana fainali UZEENI NDUGU ZANGU.
ReplyDeleteTio kaka hauwezi kuongoza kwa USAWA na kupambana na rushwa na ukriminal bila ya serikali kutabua KILA mwananchi. Am working in EU organization sio sababu hiyo nakwambia hivyo kaka yangu ila ni vigumu sana kwa kukufafanulia hapa.
ReplyDeleteBut pls do your research by experiences and practics. Nafikiri utanielewa. Hauwezi kutokomeza umasikini kabla haujatokomeza utajiri. Kisha gawa SAWA SAWA!
Sioni sababu ya kuja Bongo kujenga gorofa mtaani wakati jirani zangu hawana hata bati!