nakala ya dvd ya jinamizi la darwin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Penye ukweli mara nyingi uwongo hujitega. Kwa haraka nimepata nafasi ya kuangalia nakala ya Jinamizi la Darwin kuupitia kwenye mtandao.http://youtube.com/watch?v=yS2gm1Wu5sI. Hapa nimeweza kuona jinsi viongozi wetu walivyojitete tu kulinda maslahi yao ya kazi lakini mwisho wa siku vitu vilivyoonyeshwa na huyu mfaransa vinaonekana ni vya ukweli mtupu.

    ReplyDelete
  2. Asante mzee anonymous, kabla hata ya kufanya uchungu huyu Rais JK....kashaaza kujitetea, na mpaka kusema waliotegeneza kufungwe....Ni nini halisi kinacho fichwa hapa. Fanya uchungu na uje na kelele.

    ReplyDelete
  3. Michuzi tunaomba utuelezee how do you feel about this situation. Thanks!

    ReplyDelete
  4. I believe hawa watu walikuwa directed ndio utandawazi huo lakini what are benefits, as tanzania ktk kusaidia wakati hawa watu wanaendelea kutufanya masikini.

    Tumesaidia congo, SA, Msumbiji , uganda nk, lakini sisi ni masikini wao wanapeta nchi kama south africa wanalipa fadhila kwa kuchukua hata mchanga wetu. Na hawakumbuki kabisa.

    Sina uhakika what is going on here. Lakini pamoja na ufaransa, nasikia engineer mkuu alikuwa mKenya ndiye aliyefanya kazi yote akaangushiwa mfaransa.Siku hizi hakuna siri, unafanya usiku wakati wa mwezi, mchana yanaonekana, ndio utanda wenyewe.Ni aibu kwa tanzania, may be tutapata internal report.

    ReplyDelete
  5. Halafu huyu JK kwanza hana haki ya kutupangia sisi wananchi tuangalie sinema gani au tuamini kipi. Kila mtu mwenye akili timamu atatumia uwezo wake wa kiakili kujua upi ni ukweli na upi ni umbea. Yeye JK kuingilia kati sinema hii na kui-rubish ni dalili ya kuficha ukweli na pia anaonyesha kuwa ana vi-element vya u-"totalianism" Tanzania tumehsavuka steji mbovu kama hizo, na kama kweli amekasirishwa na sinema hiyo basi anatakiwa arekebishe yaliyoonyeshwa na wala siyo kuficha eti watu wasione ukweli. Asituletee za ki-mobutu mobutu hapa. Najua wengi wenu mtakasirishwa na maoni yangu kwa sababu mnampenda JK wenu kwa sababu sura yake eti ina mvuto.

    ReplyDelete
  6. Kigerera mbona hujaeleweka hapo, msimamo wako ni upi sasa? Halafu ungefanya juhudi kwanza ukauona huo mkanda kabla ya comments, usiwe kama Watz na CCM yao waliandamana kummunga mkono mwenyekiti wao wa chama wakati hata hiyo picha hawajaiona. Ni dalili za ukichaa kupinga kitu ambacho hujakiona eti mwenzio kakusimulia tu halafu unanyanyuka kwenda barabarani kuandamana mambo mengine ndungu zangu watz hayaingii akilini kabisa. Umefikia wakati wa kuachana na ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI hata kama ameongea upupu.

    ReplyDelete
  7. Hivi nyie mnaoandika essay humu hamna kazi,blog ni kuchangia kifupi sio kuandika kama kwenye mtihani na reference kibao

    ReplyDelete
  8. Anony juu englisi imekataa nini? maana hata kama ni kuchangia kifupi ni point zinatakiwa siyo upupu na uzushi usiokuwa na maana. Umesoma na kuelewa vizuri au na wewe ni mzungu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...