kocha mpya wa taifa na mwalimu wake wa viungo toka brazili hawakuishia bungeni tu walipokuja dom. hata msosi wa bongo walionjeshwa pia...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Huyo wa pembeni ni Amina?

    ReplyDelete
  2. Michuzi naona ukitoka bungeni ni kitambi tu hakuna mchezo ndio maana ukitaka kukorofishana na waheshimiwa wewe nenda jimbo fulani tangaza kuwa nataka kugombea.

    Michuzi usitaje sasa hivi bwana

    ReplyDelete
  3. mimi sio mbeya kwa sababu ninasema ninachokiona, huyu amina vipi tena na huyu kocha wa kbrazil................

    ReplyDelete
  4. Hivi huyu ni kocha wa timu ya Bunge?

    ReplyDelete
  5. mwacheni huyu Amina wa watu ni mke wa mtu anajiheshimu,kimadaraka hawezi kuwepa kuwa karibu na watu mbalimbali na jinsia tofauti watu mnakurupuka usingizini mnataka kumfanya gumzo la leo sio vizuri hivyo.hanihusu ila naona sa nyingine anaonewa sana

    ReplyDelete
  6. Mzozaji,
    Poa sana ulichokiweka hapa.Aminia

    ReplyDelete
  7. Inawezekana Amina ni sehemu ya "msosi" wa ki-bongo anaoonyeshwa huyo m-Brazili. Kazi na starehe.

    ReplyDelete
  8. Msosi wa kibongo walionjeshwa na nadhani pia Amina walionjeshwa maana nae kazidi umama uruma!!Dem giza likiingia tu yeyote aliekaribu anazoa!!Huko Bungeni nasikia vikaovya usiku kila mtu anajisogeza sogeza karibu yake maana hukosi kuondo kana kitu kitamukizurinakisichotazamika.U know wataimin!!

    ReplyDelete
  9. Looo nimeona humu kuna watu wanachuki binafsi na Amina . Muacheni mama wa watu wivu tu huo unawasumbua watanaznai kwa wivu na uzushi mmejalia ila Mungu atawapiga kofi kwani mnabaki kulalamika mwenzenu anaedlea anatesa mtakoma .Amina pendeza mama maisha ni yako tumia wadhifa wako .Wenye wivu mtakoma mwenzenu anaenjoy life !!!!

    ReplyDelete
  10. AMINA DEMU GANI? KWANI UNADHANI WATU HAWANA AKILI? UNAPENDEZWA NA NGUO ZAKE NA MWILI WAKE! KWANI UJUI NDANI YAKE KUNA VIRUSI? SASA UKIENDEKEZA NGONO ZENU MTAONDOKANA NA NGOMA! HAMJUI SIKU HIZI VIDONGE KILA KONA NA WAKITUMIA HAUWEZI KUJUA KAMA ANAO! MTAKUFA SHAURI YENU.

    ReplyDelete
  11. Ana ngoma ulimpima? wivu tu,mambo yako yanakushinda kazi kuzushia watu vitu usivyokuwa na uhakika,lione hilooo!!!

    ReplyDelete
  12. tuache wivu na vimajineno.....amina alikuwa anamuentertain kocha since wabunge wengine hawana interest na michezo.

    ReplyDelete
  13. Inasikitisha kuona kuwa kuna watu wazima na akili zao hawana utu. Hawana utu kwa sababu wanajishushia hadhi kwa kuwa wapambe wa huyu mwanamke "kilaza" anayependa kuonekana kila penye umati. Aceni hizo. Amina anawalipa kiasi gani hadi mnashinda ktk blogu ya michuzi mkisubiri kujibizana na watu wanamtolea maoni?Hata familia yake hawana muda naye. Basi wabongo wasivyo na haya!watashuka mahayawani, vibaraka, wapambe wanaonyeshwa nae juice tena, WAKIMPAMBA. kazi kwenu na kujipendekeza kwa huyo"kilaza"

    ReplyDelete
  14. aah wabongo wanapenda kubabaikia wageni sana. Bongo ukisema unatoka burundi tuu basi unatomba mtaa mzima.

    ReplyDelete
  15. hivi huyu amina amewakosea nini unamchukia mtu hadi kufikia kumzushia mambo ya ajabu kiasi hicho mara ana ngoma,mama huruma kwanini wabongo hatupendani hasa unapoona wenzako amefanikiwa au anaelekea kwenye mafanikio? roho mbaya haijengi na mwenye kupewa kapewa tu hata mchonge vip haisaidii ndio kashakuwa mbunge mtakufa na vijiba vyenu vya roho rikizi hutoka kwa mola imeshamshukia hiyo hata mseme vip haitabadilisha lililopangwa penye haki yake mpeni sio kuponda kila afanyalo

    ReplyDelete
  16. Wewe ndio kabisa hata hujui uongealo unafikitri miaka mitano ya ubunge ndio kuukata au vipi. Kwa taharifa maisha ni safari ndefu kunawatu wamekuwa hata mawaziri lakini mwisho wao haukuwa mzuri/kimaisha baada ya miaka fulani. Ujanja ni shule mtu dada/kaka unasikia bila kwanza kukwaruza akili hiyo unaweza bwagwa siku moja na kurudi kama mtu wa kijijini kama huna shule.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...