Home
Unlabelled
furaha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwa kweli bwana michuzi warembo tu7nao maana naona si mchezo wanavyojiachia hapo.
ReplyDeletehaya tusubiri miss world tuone itakuwaje?
ktk hii picha Joketi ndo anaonekana kama Miss Tz
ReplyDeletenapenda kuunga mkono maoni ya anony aliyepita hapo juu yangu. miss.wetu anaonekana katulia sana sio mchangamfu. sasa sijui itakuwaje huko poland maana na hali ile ya hewa na utulivu wake itakuwa balaa.kwa kweli naomba tumchue vya kutosha ili awe na uchangamfu wa kutosha asije funikwa na walimbwende wengine ninaowajua hapa mjini...........
ReplyDeleteJOKETI alijibu swali lake vizuri siku ile kwa kifupi na ufasaha, pia yuko bomba kuliko WEMA,WEMA SEPETU alijibu swali lake kkwa kirefu na mwisho akajibu majibu mengine zaidi tofauti na swali lilivyoulizwa, nashangaa majaji walivyoona jibu refu wakaona ndio mshindi hapo unaona kabisa Majaji wasivyokuwa makini. Mwaka huu sidhani kama tutafanya vizuri katika Miss World.
ReplyDeletenafikiri inatubidi tusome darhotwire.com ukurasa wa maisha na kisha tuchangie hii topic ya nani alipaswa kuwa miss.tz mwaka huu...........mwangazo.
ReplyDeleteaksanteni.
Nyie nashangaa mnalalamika miss alijulikana kablöa ya muda bado mnalalama. Hizo ndio siasa zenyewe au hamjui nini?
ReplyDeletemimi sioni kua uzuri ni kigezo cha kushinda miss world. kule wenzetu wanaangalia upeo wako wa akili na vitu vingine lkn sio uzuri. halafu kumfananisha wema na nancy nafikiri sio haki, maana anaweza asifanye vizuri lkn haimaanishi kua hakua na vigezo, labda bahati yake haikua siku hiyo, maana nafikiri mtu kushinda kwenye mashindano haimaanishi wewe hujui kitu, maana ujue kila nchi inapeleka watu , kwaio competion ni kubwa. kama kuna wapenzi wa brazil humu, mnataka kuniambia walivotolewa robo fainali kombe la dunia ina maana hawajui mpira au hawana vigezo, sema tu ni bahati mbaya, kwaio hata huyu wema anaweza asishinde wala kufanya vizuri lkn haimaanishi kuwa hakuwa na vigezo.
ReplyDelete