ah! magari ya kuazima bwana! ukirudisha lazima ubebe vyako kwanza...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Michuzi kweli umejiandaa kuwa mwesimiwa umeisha nunua shangingi?

    ReplyDelete
  2. Michuzi hapa ndio kwako. Sasa ulikuwa unataka mchango wa nini?

    ReplyDelete
  3. Wee Msami unatuaibisha sana, Unafaa kupigwa ukija huku maryland tunakupiga hizo kauli zako siyo za kiutu uzima, unakuwa kama high school boy? Huna vipande halafu unapiga makelele. Kuendesha BIMA ya mkopo tu imekuwa issue Angalia mambo ya kina MICHUZI hapo kwenye pic lakini hawapigi kelele.

    ReplyDelete
  4. Michuzi, I was urging people for a quick whip-round but now I see you were trying to pull the wool over our eyes! The photopoint logo on the back gives away the secret that you are loaded and drive 'shangingi'. Now show us your really crib. You never know MTV might commission a reality show just for you. LOL.

    ReplyDelete
  5. we michuzi unavidongo vya mbali mbali, lakini hongrea hata kama umeanzima kwa boss wako photo point unajua kujikonga roho. kura raha mwanangu tukikja kukuchakua mbunge inshaalah utakuwa umeshapata enough experience ya usukuma mavitu kama hayo...hahaaaahaaaaahaaaaaa...

    ReplyDelete
  6. imebidi nicheke tu na maelezo ya Michuzi LOL mbavu zangu maambo ya kuanzima shuleeee

    ReplyDelete
  7. Michuzi aliwapeni tuu IQ test kwa staili yake. Kama uliamini kuwa michuzi anaishi kwenye nyumba ile basi jijue kuwa IQ yako inachekesha, hahaha

    ReplyDelete
  8. Michuzi what's the moral of this photo? Au unataka watu wajue how many cars you own? mini-van?and the mini SUV? Why don't you post your bank statement? tell us how much money you have in the bank? Or post a photo of your house, printers,digital cameras?

    ReplyDelete
  9. Huyo Anon hapo juu ni Hater....Bank statement ya nini?wewe ona unachoonyeshwa then shut tha fuck up!

    ReplyDelete
  10. Can't a brother be appreciated?

    ReplyDelete
  11. YOU DESREVE IT MICHUZI-You have come the long way and you are such a nice guy....Mungu akuzidishie na just keep on living your dream.

    ReplyDelete
  12. You keep on rolling bro!!!!!!!!!dont listen to haters

    ReplyDelete
  13. Yaani unatushawishi tukubali kama umeazima au tukuone donge , wewe braza smati sana , umeukata , angalia watu was inkomu taxi wasikufuate...halafu endeleza kutangaza biashara yako ya picha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...