narudi to toka dom mwenye nyumba wangu anasema anapandisha bei ya pango, kisa; kapaka rangi mpya, na pia ati kwa nini sijaweka pazia mlangoni kama wenzangu? (chumba changu cha shoto mbele). nifanyeje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Bwana Michuzi mimi nakushauri uhame kwa sababu hiyo nyumba haifai, na kama huna uwezo sema tupitishe mchango wa dola hamsini hamsini.

    ReplyDelete
  2. hilo ni wazo zuri anony hapo juu naunga mkonio mia mara mia tupo pamoja

    ReplyDelete
  3. Sasa mkimchangia michuzi peke yake na hao wengine wanaokaa humo mtawasaidiaje au wao sio watz wenzenu.

    ReplyDelete
  4. Loo michuzi na wewe bado hujahama tu,mi nyumba hizo naziogopa kwa kelele,wivu na umbea,basi nakumbuka nilikuwa naishi kama hapo ila kupika inabidi tupike kwenye korido maana ndani no space,nikaacha sufuria ya mboga na wali koridoni,kuja sasa nipakue kuna mtu kumbe kwa wivu tu kafungua na kamimina mafuta ya taa ndani ya chakula,nilichanganyikiwa nilihama wiki iliofatia.michuzi zipo nyumba za kupanga dizaini tofauti na cheap,hapo utauwawa bure!

    ReplyDelete
  5. serikali yenyewe inashindwa kuhudumia watu wake sembuse sie wananchi wachache tunaotaka kujitolea kwa michuzi ndio maana anony hapo juu kasema 50 thousand tshs kila mmoja mimi mwenyewe nakaa kwenye nyumba hiyo ina afadhali ila nimeshaanza kujenga ya kwangu ingawa huu mwaka wa 8 sasa lakini kutoa 50 kwa michuzi mtu ambaye anatupa taarifa mbalimbali kwenye blog si mbaya lakini siwezi mchangia kila mmoja na wewe unalijua hilo!!

    ReplyDelete
  6. Michuzi aliyekupa wewe ndiye aliyewanyima waishio kwenye nyumba hii. Acha kukashifu watu wanaoishi kwenye nyumba kama hizi...nafahamu unapoishi Michuzi....don't pretend to be someone you're not.

    ReplyDelete
  7. Michuzi mi naju kwa nini umepandishiwa kodi, ni ile suti yako uliyonunua mtumbani kisha ukaenda nayo Dodoma, Baba mwenye nyumba aliiona siku ulipoifua na kuianika uani

    ReplyDelete
  8. yule anonymous hapo juu 11:25:23 ananifanya nifikirie mara mbili kuhusu suala hili, nimwamini nani, wewe michuzi au huyu jamaa???

    kwa kweli michuzi kama hukai hapa... na unadai kwamba ndipo maskani kwako hii ni dhambi. tafadhali omba radhi na ubandike picha halisi ya nyumbani kwako.

    ReplyDelete
  9. tatizo la waswahili hamjazoea habari za mkono mmoja, aghalabu mnaamini za mkono wa pili. we anony amua wa kumuamini tu, uko huru. ila mie nidanganye nipate nini ambacho sina?

    ReplyDelete
  10. How much is your rent, Michuzi? I want to bail you out. I am aggrieved to see our blogger-cum-photojournalist being threatened as such

    ReplyDelete
  11. michuzi hakai hapo anaponda kisiasa tu au ni hadithi tu ya jamaam yake mmoja kaona inachekesha. kama mnataka kumchangangia kwa sababu nyingine sawa. lakini hakai hapo. hata mahakamani nipelekeni.

    ReplyDelete
  12. au kama anakaa basi vyumba vyote vyake yaani kapanga nyumba nzima,kwani hio meza ya chakula inaonyesha tu ni sehemu ya mtu mmoja

    ReplyDelete
  13. Watanzania wa ughaibuni tunajiaibisha hapa. Watu tunazungumza namna ya kusaidia ndugu yetu Michuzi, mnaanza kutukana na kuleta hadithi ndefu tu, inabidi tuwe wazi na kuweza kutoa majibu ya kueleweka.

    ReplyDelete
  14. Michuzi!
    Be serious, najua hukai hapo usikashifu watu bwana.Unaweza somesha mtoto international school, MOSHI/ARUSHA then unakaa humu.Msalie mtume wewe!!

    ReplyDelete
  15. Aliekupa wewe Michuzi, ndie aliewanyima hao wanaoishi humo.Acha kashfa.

    ReplyDelete
  16. Michuzi matusi hayafai kaka! Uliyekupa ndiye aliyewanyima waishio katika hii nyumba. Kuwa mkweli mara moja moja inasaidia sana katika maisha.

    ReplyDelete
  17. Michuzi mi naona utangaze ndoa na binti wa mwenye nyumba, hata hiyo bili ya pango ya sasa ataindoa utaishi bure hiyo hela utayosevu ununue kamera nyingine tuzidi kuona masnepu kwenye mtandao wako!

    ReplyDelete
  18. kwanza huo mlango anaodai ni wa chumba chake ni mlango wa kutokea nje/kuingia, angalia michuzi, waweza kujikuta unarudi kuishi kwenye nyumba ya namna hii siku moja pamoja na kuikashifu kwako!! maisha ni kupanda na kushuka ati!!

    ReplyDelete
  19. we michuzi unashindwa kuhama kwa kuwa unajivutia huyo mke wa jirani yako chumba cha kulia,angalia jamaa
    kashashtukia ,utakula rungu ndio uhame.

    ReplyDelete
  20. Bwana Michuzi wenye nyumba kama hao usiwaendekeze, tembeza kichapo tu inapobidi.

    ReplyDelete
  21. Enough of empty words. How about a whip-round for Michuzi for all of us abroad? Do you take credit/debit cards, Mzee Michuzi?

    ReplyDelete
  22. U mlokole! Usijiingize na gea za card hapa huna lolote! Mkojo mtupu!

    ReplyDelete
  23. NYumba ndogo nini mkuu!! manake hapo mjini mambo ni kubanana!!safi sana kiongozi hata mimi nina kachumba changu shimo la udongo , kuingia na kutoka guest nao siku hizi wanaua ni bora kuchukua chumba kulipa kwa mwezi au waungwana wazangu mnasemaje....??

    ReplyDelete
  24. Hapa ndiyo nyumbani kwa kina MSAMI nini? mbona huyu mtoto anamdomo mchafu sana? Tutakupiga wewe ukushuka Maryland, acha ushamba watu wanasukuma magari ya ajabu hatupigi makelele kama yako wewe bima tu story kila mahali na kuvunjiana heshima. Mimi ni LUSAJO? Say something Dick head!

    ReplyDelete
  25. WEWE LUSAJO KAKA YANGU NINAKUJUA SANA TUMEKUA NA KUSOMA WOTE O/BAY, ULIKUWA MTAA WA UGANDA KAMA SIKOSEI MIMI NIKUWA GUINEA ROAD.
    HII BLOG HAIKUFAI KAKA YANGU WEWE SOMA TU KAMA MIMI, LA ZAIDI UTACHEFUKWA TU! IS FOR 2ND AND LAST GRADES OF TANZANIANS, NOT LIKE YOU AND ME AND THE OTHERS WE KNOW. WE JUST LOVE MICHUZI AND SUPPORT HIM THAT'S ALL!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...