hutba ni kitu neva miss kwenye ndoa za kiislamu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi...pale ilikopaki bima na gari yako ya photo point...kwa ndani ndio pako hivi??..harusi ilipendeza sana!!.Hongera sana!!!.

    ReplyDelete
  2. maneno ya busara ni muhimu ukumbigani huu bwana michuzi.

    ReplyDelete
  3. kaka Misupu ama Misauce, umewapiga mkwara nini watu wanaouliziaga harusi ya taifa. Nashangaa bado hawajajitokeza hapa leo

    ReplyDelete
  4. Nani anajali kama ni mufti au la, Tokeni hapa na udini wenu wote nyie waislamu na wakristo ndio vibaraka wakuu na mnao rudisha nyuma maendeleo yetu Afrika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...