ledi jei dii na mumewe na marafiki zao walikuwepo kwenye miss tz 2006 usiku kuamkia leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. mhh JD naye hana disigner au? ndio nini kujitia kuvaa taji kama miss tz ?watu wengine bana wanabofoa very easy grown ya nini jaamni!! mhhh

    ReplyDelete
  2. jide si alimtukana huyu jamaa wanaumme kama mabinti wakati amemuacha..akawa anamtia yule mama tanrose!!??waliona tena??

    ReplyDelete
  3. Jde hana mshauri wa mavazi?

    ReplyDelete
  4. jamani muacha jd alitaka ajikumbushie mavazi yake ya harusi.ila jamaa ndo sijampata vizuri iko kizibao yeye aliona kimefanana na kofia nadhani huyu jamaa vipi ni mshumaa nini??

    ReplyDelete
  5. mmh jamani hilo vazi kwakweli alichekesha sanaaaaa huo mcrown ndio aliua kabisaaaaaaaaaa.Huyo mtu anayemshauri aache kumdanganya dada wa watu

    ReplyDelete
  6. Namteteaga JD ila sasa nimenawa mikono hilo vazi na crown tu ndio imeboa jamani mizz tz avae crown na yeye avae sasa nani zaidi mweee

    ReplyDelete
  7. Jamani kile kipindi cha Fashion Police ingekuwa vizuri kama kingeonyeshwa huko nyumbani ! Kweli JD na Mume wake walichekesha sasa hiyo crown ilikuwa Harusi yake au ? Anyway ndio macelebrity wetu wa bongo hao !

    Kama anon aliposema inabidi wapate watu wawashauri kayika kuvaa !

    ReplyDelete
  8. Bwana Michuzi hongera sana na endelea kutuletea habari zaidi kutoka nyumbani. Lakini kitu kimoja kuna baadhi ya watu hawafai kupositi taarifa zao mara kwa mara kama huyo bibi hapo juu, anafanya watu wengi sana wa "raise flags".

    ReplyDelete
  9. nani anayejua kuvaa jamani huko ulaya kwenu.........kwani watu hawaharibu. unajua moja ya sifa ya kuwa celebrity ni kwamba lazima watu wajue kama hupo na katika kutaka kupata uo muonekano sometime watu uvaa kiajabu au wengine ufanya kitu cha ajabu ili waonekane.........sasa dada jide ameamua kuvaa crown sio la kushangaza.

    mbona hamkushangaa pale devil jones alipokojoa kwenye kapeti. najua wengi hamuamjui kwa kuwa mnaangalia p.diddy na maria kelly tu. au mmesahau janet jackson alipoonyesha ziwa,na hata wengine wengi.hebu tuache kumuangalia vibaya jide.

    sisi kama wanablog tumshauri lakini sio kusema kwamba hajui kuvaa au nini na nini.tujirekebishe kwani unafikiri ni wangapi wanavutiwa wewe unavyovaa?

    ReplyDelete
  10. Michuzi huyo jama aliyevaa T shirt nyeupe ni nani? sura sio ngeni sana.

    ReplyDelete
  11. Jama!
    Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake. Ikiona kapendeza ni wewe, ukiona hajapendeza ni wewe. The point ni 'kuchalengi' what we see bila kujali tunakaa Ulaya au unablog tokea Mwanarumango. As much as dada kajitahidi kwenda na concept ya hiyo siku, binafsi nadhani kaharibu. Ila mbona siku nyingine anapendeza? Tusiue leo, kila mtu anasiku mbaya kimavazi.
    Afu jama tuache kufuatilia jamaa aliimbwaje, alikuwa na nani,na yote hayo yaliyopostiwa hapo juu. Wao si wanapendana? Michuzi hakuweka picha ili tuambiwe Gadner alilala na nani zamani. We don't wanna know!!!
    Michuzo, one again good job!!!

    ReplyDelete
  12. Hivi hujui kusema watu ni gonjwa moja kubwa sana hapa bongo ,na likipatiwa tiba tutaendelea sana,mi sioni ubaya wa hilo taji naona ni kifaaa cha urembo kama vile hereni,cheni nk,ili mradi mtu huko happy na mmew pia kamkubalia avae sasa watu sijui wanataka nini,hajawavalia nyie,ebo

    ReplyDelete
  13. Ni lazima uende Musoma ukajifunze jinsi wanawake wanavyoishi na wanaume ndio utaelewa, ana matatizo ya background ya mkoa wake kama wanawake wa Kiyahudi vile!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...