judith daines wambura mbibo a.k.a ledi jeidii jukwaani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Tatizo kubwa alinonalo huyu ni kuwa hakuvaa gauni la harusi wakati wa sherehe yake yeye. Alivaa kiaina suruali na kitopu.. Sasa unajua kuna ile waswahili wanasema kama kuna kitu hujakifanya utotoni basi utakifanya ukubwani, ndio maana ikabidi avae gauni la harusi siku ambayo haiendani ili kutoa hiyo kiu. Msameheni jamani hajui atendalo. Anahitaji ushauri.

    ReplyDelete
  2. Yaani huyu dada jamani kwakweli mh,ndio nini sasa kujifanya hamnazo wakati ana akili zake timamu.Hivi huyu ni nani lakini? Nampenda sana ila anataka kuniudhi sasa.

    ReplyDelete
  3. Kapendeza jamani hapo angevaa kimini mngeua kabisa,wanamuziki ndio walivyo mbona mfano Awilo alikuwa anavaa nguo za ajabu ajabu,kina kofi,na wengine wengi,music mzuri na mwanamuziki awe free bwana sio mmnampangia.katoka bomba kama miriam makeba enzi zake

    ReplyDelete
  4. Michuzi tumechoka na picha za JD tafuta kitu kingine utuwekee hapa, hata siku moja moja picha za Tandale na Vingunguti Kiembe mbuzi!

    ReplyDelete
  5. toto hili bwana http://www.botinok.co.il/spaw/images/myahq9.jpg

    limetulia hilo, ebu lichekini wenyewe.

    ReplyDelete
  6. http://staging.yourscene.nl/images/library/Mya.jpg

    ReplyDelete
  7. Mzozaji hacha kuzoza bwana mtoto ama kweli ametulia bwana, kama kuna picha za wabongo wametulia tuoneshe basi. watakuwa wametulia lakini hiki kifaa kimetulia kisawa sawa.

    ReplyDelete
  8. Mbona huyo cynthia masasi amechoka namna hiyo?? na huyo unaweza kumfananisha na mya kweli una wa kumfananisha. katika mademu wakali huyo hayupo ata kwenye list ata kwenye reserve list pia hayupo. Tafuta wengine.

    ReplyDelete
  9. wewe anony unasemaje?cynthia kachoka?embu muweke dada yako,hapa au demu wako tumfananishe na cynthia,acha mchezo na cynthia wewe.

    ReplyDelete
  10. jide mzuri kwa demu wa michuzi

    ReplyDelete
  11. Nimecheka mbavu sina Watz Mmmmyy!!!!!

    ReplyDelete
  12. Cynthia alikuwa rafiki yangu lakini nilipo angalia hiyo picha sintaki tena, kabisa

    ReplyDelete
  13. UMEULIZWA??RAFIKI YAKO SO WHAT??

    ReplyDelete
  14. nakataa demu wa michuzi kama wanaelekeana na jide.tuseme wote wamelingana

    ReplyDelete
  15. http://www.buffiethebody.com/main.htm

    http://www.myspace.com/buffiethebodydotcom

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=204250

    http://www.candynicole.com/

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=1093611

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=768211

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=768192

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=687132

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=316642

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=544426

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=1073525

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=1073530

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=1003226

    http://www.modelmayhem.com/pics.php?id=13905

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=963729

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=768241

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=973253

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=492389

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=129215

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=973053

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=902112

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=629400

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=501221

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=958921

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=550924

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=563937

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=427213

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=288121

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=245956

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=197888

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=245970

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=223977

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=421645

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=510538

    http://www.modelmayhem.com/pics.php?id=13905

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=1120236

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=509592

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=509625

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=667642

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=48121

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=1176359

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=1175828

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=1158451

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=892059

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=861023

    http://www.modelmayhem.com/pic.php?pid=860801

    ReplyDelete
  16. this wonder full she great body for modeling

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...