hapa ndo kwa mchungaji mkuu kakobe mwenge dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kanisa limesevu...ila pakingi hola!

    ReplyDelete
  2. Huyo Kakobe ni mwizi mkubwa huyo! Tapeli hana lolote! Chunguzeni vizuri watu wanaoingia kwenye dini yake, pesa zote huenda kwake, anawalazimisha watu wauze magari, nyumba, chochote cha thamani wampelekee! Tapeli mkubwa mimi namjua vizuri chimbuko lake na mpaka alivyoanza kuwa na idea hiyo! Anawaibia sana kinamama na kuwatomba!

    ReplyDelete
  3. Michuzi, some of the comments are 'below the belt'. Let people know that this is not a forum for foul-mouths. Isn't the anonymous above verging on libelous? Michuzi, I recall you sounding a warning not so long ago about improper comments. Please put you foot down. To some of us this is the best blog ever as it keeps us abreast with the goings-on of home.

    ReplyDelete
  4. I personally do not condone filth language. One thing we should remember is, liberty and freedom of speech are new things to us,Africans. On the way to full liberty, we are going to experience lots of blips and we can't simply iron all of them as doing so is just like moving 3 steps forward the 3 steps back. Those who use filth language, let them do so, and Michuzi let people enjoy liberty, we don't want your restrictions. If Mlokole is offended by that, that is his problem.

    ReplyDelete
  5. Ninamheshimu sana Askofu Kakobe. Alikuja Boston na kufanya Crusade. Nilishuhudia akimponyesha MNigeria alikuwa anatembea na gongo shauri ya kupigwa na kuumizwa na kichaa kazini kwake. Kwa kifupi, nilimfahamu huyo jamaa tokea aivyokuwa mzima, na nilimwona alivyokuwa anateseka na mauvmivu baada ya hiyo ajali. Mimi ndo nikamshauri aende kwa Askofu amponyeshe. Yule baba ni mzima mpaka leo na haachi kumsifia Askofu Kakobe na kutoa shukurani.

    Pia nakumbuka Askofu Kakobe aliyoanzisha kanisa lake Mwenge na akina dada walikuwa wanaomba lifti badala ya kupanda basi.

    Hata mimi nimesikia habari za ajabu ajabu kutoka Bongo, lakini siko huko na siwezi kusema kama ni kweli au la. Ila nakumbuka alivyo kuja na kufanya Crusade na alionekana mtu mwema na mhudumu wa Bwana.

    ReplyDelete
  6. mimi personally napingana na Kakobe na simuamini.. lakini ni mimi binafsi na nina sababu zangu.
    Lakini nakubaliana na wenzangu hapa juu kuwa hii sio mahala pake. Michuzi hakuanzisha blog hii kwa nia hii.

    Na kama mtu anataka kumponda Kakobe au yeyote atafute uwanja wake mwenyewe kufanya hivyo na pia ajiweke jina lake. Sio unawakashifu watu ukiwa anonymous.
    And should you chose to do so (i.e. kufungua site, blog, whatever) na kumponda Kakobe au mtu mwingine yeyote; fanya hivyo kwa kufuata sheria za nchi na sheria za haki za watu kuabudu duniani.

    ReplyDelete
  7. Mmhh. Vema sana.Bwana no name katoa kashfa nzito sana. Zaweza kuwa kweli au la. Ila Tanzania ni nchi ya ukweli na uwazi na sasa ni zama za Ari,nguvu na kasi mpya kama huyo jamaa anaushaidi ya kwamba Bishop Kakobe in mwizi na mzinzi basi ni vyema kuripot polisi na sheria zidi yake ichukue mkondo. maana according to Tanzania law utapeli ni crime sa kwanini kaa na ushaidi wakati watu wengine wanatapeliwa? Come forward and let’s prosecute the conman na tukomeshe utapeli huu. Abduel Elinaza--Kenge

    ReplyDelete
  8. Michuzi if this is you blog make sure you have enough resources to have a filter of what comes to the Public. Because some People are giving completely rotten opinions using bad and inappropriate Languages.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...