Julius K. Nyerere with John F. Kennedy at the Oval Room in the White House

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. To me, these two are among the great men ever lived. Thanks for this pic.

    ReplyDelete
  2. A banal correction should be in order: Its called "Oval Office". Thanks :)

    ReplyDelete
  3. Nyerere alifanikiwa kijamii(socially) akashindwa vibaya kiuchumi (economically).Tukimsifia lazima tumkumbushe kwamba kiuchumi alituangusha ila tunamsamehe kwa sababu hata mwenyewe alikiri bayana kwamba alichemsha kiuchumi.Mungu ailaze pema roho yake.

    ReplyDelete
  4. si kweli kwamba nyerere alishindwa kwa uchumi,unatakiwa ufanye analysis vizuri, hivi angewezaje kufanikiwa katika uchumi wakati asilimia 90 ya watu walikuwa hawana elimu,
    nyerere alianzisha viwanda kibao hapa, sisi wenyewe watanzania tukashindwa kuviendeleza kwasababu ya ubinafsi na kukosa elimu.
    JUST FEWS YEARS HAVE PASSED AND WE FEEL HIS ABSENCE ON THE COUNTY,
    LOOK AT THE CURRENT GOVERNMENT PURPOSELY CREATING RELIGIONS TENSIONS;
    WHAT HAPPENS NOW BY GOVERNMENT SPENDING A LOT OF MONEYS IN ADMISTRATIONS WHILE CITIZENS HAVE NO ELECTRICITY FOR 18HRS PER DAY.
    IF JULIUS WAS THERE I AM SURE IT WOULD HAVE BEEN A DIFFERENT STORY.

    ReplyDelete
  5. Hivi maana ya kushindwa ni nini?Anyony wa hapo juu anaelekea kumaanisha kwamba mtu ukishindwa as long as una sababu (asilimia kubwa ya watu walikuwa hawana elimu) basi hujashindwa tena.Given any reasons that were available then and even now if Nyerere still lived,he failed.If he acknowledged that himself who are we to say otherwise?
    He tried,so hard, and we all appreciate that but that does not mean he was succesful damn it!

    ReplyDelete
  6. He did tell you that he was "undecided"? or maybe you think he was undecided. He was definitely not a capitalist; refer to his speech right after the Zanzibar declaration was passed. If he was undecided he would not have said that he had read the Arusha declaration over and over and still did not find anything wrong with it!!!

    ReplyDelete
  7. when it comes to international policy, the US is always... well.. *@#$^& (pardon my langauge).

    But domestically Kennedy ruled at a hard time with all the racial tension and stuff. And as a black man I can not ignore his contribution to the support of intergration in schools and other civil rights movements.

    But all in all, in my opinion, between all the good things he did and all the things he may have failed in, I think people remember JFK more fondly than (some people may think) he deserves to be because he was assasinated; and at such a young age too. Lots of times assassinations (or an attempt threof) tend to increase people's popularities.

    And ofcourse without forgetting that in '60 it was either him or Nixon, and well.. Watergate reminded Americans that they'd made a better choice 12 years earlier.

    ReplyDelete
  8. Nimeona comments za watu kuhusu maendeleo na Nyerere,jamani tukumbuke kuwa kuna vibano fulani na hawa watu kama IMF, World Bank ambao wanaingilia kati mifumo ya tawala za nchi kwa manufaa ya nchi fulani(zisitaji hapa)na mifumo hii ni ya kutaka kulemaa kutegemea misaada...nchi yetu ilipingwa sana ilipoweka mwelekeo towards eastern blocs...mnakumbuka IMF ilikataa kutoa misaada kwa Namibia eti mpaka majeshi ya Cuba yaondoke Angola...hizi ni baadhi ya vipingamizi nchi zetu zinapata kutoka kwa hawa eti wasaidizi wetu...kesho unataka kukopa Benki kuanzisha mradi wako Benki wanakwambia eti sikupi mkopo mpaka umtimue rafiki yako...Nadhani sijawapoteza na mifano kuingiliana!!

    ReplyDelete
  9. Mwaka 1962:

    Architects - 0
    civil engineers - 1
    mechanical engineers - 0
    Surveryors - 1
    physicians - 16
    lawyers - 1
    veterinarians - 9

    Biashara wageni, madini wageni, wazawa ??

    Vipi kuhusu vikwazo vya mazabe , kushuka kwa bei ya mkonge, oil crisis 1973, vita ya Amin?

    Mbona hawakusapoti mabadiliko baada ya azimio la kigoma? Home grown reforms mbona hawakusapoti? mbona ndiyo hayo mabadiliko yanayoendelea sasa?

    Mwacheni babu alale pema.

    leo zahabu na mapanki yakitoka kwenye ikwesheni - wabongo mtaweza kujimudu? mmepewa mashamba muwekeze rujewa,wananunua wale wale wadosi, hata leo mtamlaumu mwalimu hakuwapa uwezo wa biashara - hata wa kufikiri

    ReplyDelete
  10. IMF ni wazuri wa kurukisha vichura chura wale ambao wako tayari kuruka wanajua sana kila rais/mkuu wa nchi duniani wanajua ni wapi wawarushe na wapi hapashikiki. Ukiendelea kuwa tegemezi kwao huna budi kuweka mikono juu na kuruka.

    Ndio maana nchi mbali mbali zinapigana kuondokana na utegemezi huu.

    ReplyDelete
  11. mtume,mbona wanaangalina kimahaba!!!!

    ReplyDelete
  12. Trio Kaka your comment on August 28, 6:50am should have started like this: "and up to that point", indicating the time discussed was when the pic was taken and not the present time as indicated by the word "this" in your comment. All in all I get your point now.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...