Home
Unlabelled
kitogo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi noamba contact ya huyu mshikaji kuna biashara kidogo tunaweza kufanya
ReplyDeleteni swali litalobaki palepale.kama tuna gold na diamond..na vivutio vingi vya watalii kama kilimanjaro..lakini hatutajiriki navyo..badala yake majirani zetu wakenya ndo wanakusanya hela kwelikweli..kitendawili kinabakia palepale cha sanaa pia!
ReplyDeleteKuzingatia swali la ndugu yetu MREKEBISHARIKA, mimi kwa mtazamo wangu naona kitu cha kwanza kinacho tufanya sanaa zetu na yote tulionayo kama diamonds na vivutio vyote vya watalii visinyanyue maisha ya wanajamii na hasa wahusika wakuu kama maartist wetu ni "lack of appreciation", watu wanaona ni heri waende wakatumie kwenye vitu imported products kuliko vile vitengenezwavyo hapa hapa nyumbani. wakati nchi za wenzetu anafanya kila wawezalo kukubali na kuthamini kazi na vitu vya ndani kwanza.
ReplyDeletehii ndio maana tatuchukua muda mrefu sana kuona wasanii wetu wakifurahia na kutajirika kwa kazi zao au wananchi kuona matunda ya nchi yetu kuwa na maliasili nyingi. kwa kifupi siku tutakayo jifunza kuthamini mali asili etu na kazi za watanzania wenzetu ndipo tutakapo pata hayo mabadiliko vinginevyo tutaendela kuuliza hili sali vizazi kwa vizazi.
Good points hapo juu. Ila pia tumpongeze huyo mchoraji kwani painting yake hio inaonyesha kweli bongo tuna vipaji, wadau tusaidie kuvitangaza na kuvitunza vipaji hivi!
ReplyDeleteNaomba contacts tafadhali Michuzi.
ReplyDeleteMichuzi huyo kijana anafanya kazi zake wapi naomba address nataka kununua paiting zake naona zinavutia please weka contact zako japo kuwatangazia biashara yao huku tulipo inalipa sana natakani ningekwua mchoraji basi tu .Iliyobaki nataka kununua niwe nazo sebuleni kuwasapoti watz wenzangu.
ReplyDelete