Home
Unlabelled
kocha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mpira ni uchezaji na tabia(co-operate). Kwa mpira wa kucheza mtu mweusi unajulikana dunia nzima ni number 1. Lakini tabia yetu inajulikana ni..... Mngekuwa kuwa huku Deutchland mkaona aibu walizotuachia waafrica ndio mgenielewa.
ReplyDeleteSasa je huyo mtu ataweza kuchange tabia yetu kwanza au ndio amekuja kula kama myugoslavia wa zamani?
Anyway ni vizuri kujaribu, na pia kupata sifa bongo tuna coach m`bra.
Good Kikwete n` the gunsters.
Tanzania imekuwa na wachezaji wazuri sana tu kama nchi zingine za Nigeria,Cameroon, Ivory Coast, Senegal n.k . tatizo letu limekuwa katika uongozi na Makocha , kamwe hatujawahi kuwa na kocha wa maana, wote walikuwa wanababaisha tu hawa wote wakina Msolla, kibadeni, Bendera n.k walikuwa ni wWalimu wa UPE tu si tuangalie makocha wanaozifundisha nchi za wenzetu?
ReplyDeletemzee inaelekea una suti nyingi halafu kali kinoma
ReplyDeleteNa hiyo mentality inayoongelewa na Emergencypoison na jamaa wa Deutchland, inatokana na SHIDA, ndio hiyo hiyo njaa! Wachezaji Bongo wana njaa, wanaishi katika nyumba za kupanga! Eti mchezaji wa mpira ana kazi nyingine ya kuajiriwa pembeni ili aweze kutosheleza mahitaji yake. Hiyo umesikia wapi dunia hii jamani kama sio kwa masikini pekee yake?
ReplyDeleteWenzetu wote wanakuwa wanaown biashara tu.