kongwa ni maarufu si kwa nyama ya ng'ombe tu, hata matunda na mboga wilaya hii ya dodoma iko mbele, sema tu soko lake ni hafifu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Brother Michuzi inakuaje tunakufa na njaa maana naona umepaki hapo ukiwa unabeba nafaka za kwenda nazo Dar-es-salaam ili vijana wapate rizki ,halafu bro hao jamaa wa State house wanatia aibu mpaka leo mtandao wa uko kwenye Construction waambieni kama wanataka vijana wawatengenezee tutawaarifu basi maana ukichungulia ya kibaki ,kagame na hata Museveni utafurahi kuna picha na habari za kila siku za Marais zikiambatana na hotuba watu wengi haswa sisi ughaibuni tunapenda kuona vitu kama hivi waulize akina geofrey baluah na freddy Maro vipi

    ReplyDelete
  2. du!!hivi viazi vinanikumbusha mbali.mambo ya azajangwa.tambaza na zanaki.chekibob na sis duu! za 4rodhani ilikuwa soo sio kulka chips dume.du poa michuzi picha hizi babu kubwa sio kila siku picha za mapajamapaja na gari la idd na amina chifupa.

    ReplyDelete
  3. Mtandao unaotoa habari mpaka sasa wa mambo ya ikulu tembelea hapa

    http://www.kikweteshein.com kuna picha kibao na JK na wenzake wote

    hebu tembelea alafu utaniambia

    ReplyDelete
  4. nani kakuuliza??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...