Home
Unlabelled
maegesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sawa kabisa kigerera dom yenyewe nzuri hapo tu bungeni kwingine pamechoka sana barabara vumbi tupu maeneo ya makole na iringa road, wakirekebisha huko nitaona kweli wanaijenga dom
ReplyDeleteMie nilidhani ukame Dodoma zima,hapa hapana dalili za upungufu wa maji kulikoni? au ndio kwa wakuu hakupati ukame?
ReplyDeleteTuoneane huruma waheshimiwa tumwagilieni nasi hayo maji jamaa.
Ama kweli ndo maana hatuendelei Bongo. Kila mtu aliye na ka-cheo fulani anapewa gari la serikali? Wabunge, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa mikoa, manaibu waziri, wakurugenzi wa wizara, mawaziri,makatibu wa wizara, ma-jaji, mameneja wa mashirika ya serikali (yale machache yaliyobaki)? WHY? WHY?
ReplyDeleteLet's change this please. If these people can afford campaign money from their pockets, let's have them pay for their own transpotation.
Ukiangalia Magari ya Kifahari yalivyojaa kwenye Maegesho ya Ukumbi wa Bunge, unaweza kudhani Tanzania ni moja ya nchi tajiri sana Duniani yenye kuleta maendeleo yanayokubalika ya Kiuchumi, Kijamii, Kiafya na Kielimu kwa wananchi wake. Kumbe ni moja kati ya nchi masikini sana Duniani.
ReplyDeleteUmaskini kitu kibaya sana, tuna mawazo finyu sana kufikiri magari mazuri ya kifahali will get something accomplished in Dodoma or Dar! How can you justify all these expensive SUV's ? It's unecessary! no wonder even MICHUZI wants to get into politics. Watu wanataka kuingia katika politics for the wrong reasons.
ReplyDeletenyie michuzi uwa mnaegesha wapi sasa???au na nyie mlishatwibia fweza zetu maana hamna mashine imechoka hapo.
ReplyDeletemichuzi, unagombea ubunge wa wapi tena mzee!!!?? au ndo mbunge wa kuteuliwa!!!! I love that anony 6:17:20
ReplyDeleteTrio kaka magari unayoyaona hapo kila gari unaweza kujenga primary bongo.
ReplyDeletewewe Trio kaka unaongea nini wewe? Yaani wewe unadhania mbunge wa Ngorongoro au Dongobeshi wanaishi kwenye majimbo yao? Wanaishi Mtaa wa Bongoyo hao, Daresalamaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKalaghabao na ubozi jako
Nyie mnaowasema wabunge hamjui wanavyopata shida ndio maana mnasema tu mimi baba yangu mzazi ni mbuge somewhere hapo bongo,amepokea jimbo kutoka kwa mbunge mwenzie mae3ndeleo ni duni sana my dada sio greedy person,tangu apate huo ubunge anahangaika sana our home is like hospital sababu watu wanakuja kutoka jimboni kuomba misaada,baba yuko frustrated sana na bize sana,labda hawaa wabunge wa kuteuliwa na rais wana nafuu kidogo.
ReplyDeleteWewe una muonea huruma baba yako unataka nasi tuungane nawe? hiyo hali baba yako na familia nzima ilibidi mkae kwanza muangalie faida na hasara za kuwa mbunge, nyinyi mlifurahia haki hiyo sasa unataka sisi ambao baba zetu ni walalahoi tukuonee huruma, zaidi sana labda ni kumshauri baba yako atekeleze ahadi zake kama alivyoahidi hasa ile ya huduma za jamii amabazo aliahidi na wewe kazana ili upate chochote ukasaidie walau zahanati ya pale kijiji alichotoka baba yako,haatutakuonea huruma kwa hili wala hao wabunge.SAWA?
ReplyDeleteEhh Trio Kaka mbunge nini wewe?
ReplyDeleteIn reality, hakuna Mbunge anayelipia gari lake, check this out:
1)hawa jamaa wanapewa allowance za ku-maintain magari
2) wanapewa percentage of what they are suppose to pay for those cars.
3) Wanapewa hela la nyuyu.
4)Wanalipiwa madereva, to say the least.
Sasa combine hela yote hiyo wanayokula in the name of a CAR halafu niambie bado wanalipia hayo magari..nyooo.
Realistically, haya magari ni mzigo mkubwa sana kwa taifa ambao unaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa, Wakati ule yuko Mchonga (RIP), wabunge walikuwa wanapiga misele majimboni mwao kwa rate ile ile ya sasa na hakukuwa na mashangingi ya wabunge.
On the contrary, kama Trio Kaka alivyosema, what else could the Wabunge roll in, they gotta roll on something respectable, of course, SUV's will suite em' guud, one thing for sure, they gotta pay for it or else...