Home
Unlabelled
mafuta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi nini tena barabara ya Azikiwe avenue?..Nadhani barabara ya Azikiwe inatosha.Siyo na Azikiwe Avenue..
ReplyDeleteKuelimishana..
mzee mchuzi i hope hayo ma55 yatapatiwa ufumbuzi maana hiyo barabara ni kimeo kweli. yaani ukiwa na gari mwendo mnyororo (foleni) na ukiwa na miguu matatizo as chinga kila mahali na ma55 pia, teksi pia. yaaani hiyo barabara ni feki kwa jengo kubwa na zuri kama hilo. au wenzangu mnaonaje.
ReplyDeleteWe anony wa kwanza hapo juu kama unataka kuwa mwelimishaji anza na watoto wako 48 ndio uelimishe jamii. Unachotaka kumwambia Michuzi alikifahamu kabla hujaanza kuishi na huyo kimada wako wa kumi na mbili. Nyambaf!
ReplyDeletehaha Michuzi umeniacha hoi. Naona huwa unawaenjoy sana watu wanajoidaigi kukurekebisha ukichanganya neno la kiswahili na kiingereza lenye maana 1. Maana kila wakibwata, next post lazima picha mojawapo ufanye tena.
ReplyDeleteSafi sana.. endelea si tunaenjoy!! Achana nao hawa kina Andanenga uchwara
Michuzi ninajua unajaribu kuifanya blog iwe inavutia zaidi na nini, na ninaelewa kabisa hii sio sehemu ambayo kila kitu inabidi kiwe formal kama bungeni lakini hii habari ya barabara ya azikiwe avenyuu au mtaa wa morogoro rodi kidogoo inaanza kuwa boring na annoying kaka, na inaanza kupitwa na wakati, naomba unielewe kwa heshima na taadhima, otherwise mambo mengine yote ni SUPER.
ReplyDeletemimi nakubaliana na wewe kaka/dada khs kuandika hivyo vitu khs road.barabara sio siri inaboa. mimi pia ni mpenzi wa hii website maana inatupa news za Tanzania kwa sisi ambao tupo nje ya nchi lkn kila siku unapoona vitu hivihivi inaboa kiasi, kwaio tunaomba kaka michuzi upunguze haya mambo, maana nina uhakika unajua kimombo na hivyo vitu unavyoandika unajua umekosea basi tu ni makusudi, maana mwanzoni ilikua ni fun lkn sasa hivi imeanza kuboa
ReplyDeleteWewe kima wa post ya hapo juu, lugha hiyo ingekuwa imekuboa bila shaka ungekoma kutembelea blog ya michuzi. Kwamba bado unatembele na unatoa comments humu inaonyesha hiijakuboa. Ikikuboa wewe tokomea huko porini kwenu. Sawa we pimbi?
ReplyDeletewewe kaka wa hapo juu inaelekea wewe ndo pimbi kabisa,mimi kutoa comments kwa kitu ambacho sijakipenda haimaanishi kwamba siipendi hii site(kwanza mimi ni mpenzi number one kwenye hii site), bali ni kaelement kamoja tu ndio ambacho hakikunifurahishi humu ndani, ndio maana inaitwa kutoa maoni(negative au positive) kwaio michuzi anaweza akakubali au kutokubaliana na mimi, huo ni uamuzi wake na jinsi anavyoona wapenzi wa hii site wanavyopenda, watu wengine ovyo!!!
ReplyDeleteYaani unataka michuzi afanye mambo kwa kukufurahisha wewe? Watu wengine bwana!
ReplyDelete