mh. amina chifupa wa mpakanjia akiwa amepozi na mwanae rahman na mh. getrude mongella na mdogowe amina (jina kapuni) bungeni majuzi. haya ni masalia ya dom

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Michuzi una sera gani na Amina mbona kila siku kwenye blog yako yupo haipiti wiki bila picha yake. Hakuna waheshimiwa wengine wa maana kama akina Nimrodi Mkono na wengineo ambao wana cha maana kwa nchi yetu zaidi ya huyu kilaza. Au amekupa commission ili umtafutie umaarufu kupitia blog yako. Achana na hawa watu ambao hawana faida kwa nchi yetu tuwekee picha zenye kuleta mvuto kwenye majadiliano yenye maana kwa maendeleo ya nchi yetu. Asante na pole kama nimekuudhi.

    ReplyDelete
  2. We anony wa hapo juu huna macho nini? Ina maana humuoni huyo Getrude Mongella? Au na yeye umeshamuona hana maana?

    ReplyDelete
  3. Michuzi mimi sina natizo na wewe kumuweka chifupa kila siku, matter of fact I like that girl. Lakini ninna tatizo kwenye hii picha wewe kumtambulisha GM baada ya kumtambulisha AC na mwanae, ndiyo tunakokwenda huko mzee money?

    ReplyDelete
  4. Wewe anony wa saa 8:04:07Pm uwe unatumia ubongo kidogo kufikiria, wewe unamuona Mongella amechoka hata kusimama hapo tu kwa ajili ya picha anaona tabu halafu tuanze kumjadili si kumuone huko. Haki ya nani wabunge Tz ni maajabu, nina uhakika asilimia 100% huyu mama Mongella kwenye vikao vya bunge zaidi ya asilimia 75% ya muda anakuwa ndani yu bunge amesinzia. Utu uzima jamani na sisi tunaochagua sijui hatuyaoni haya. Mtu alishajichokea na uzee bado mnamchagua mbunge mnategemea nini kama sio kusinzia tu bungeni. Mtu akishakuwa mzee muda wa kulala unakuwa sawa na wa kitoto kichanga. Shauri yenu nchi inazidi kuteketea kwa upuuzi wetu wenyewe.

    ReplyDelete
  5. Huyo mtoto mbona amefanana na IGP mstaafu Mahita?

    ReplyDelete
  6. We anony wa juu hapo usilete uchokozi hapa hayo makubwa unayoyaleta unataka watu wakumbuke nini?

    ReplyDelete
  7. du aisee hiyo point ya mheshimiwa kusema mtoto anamfanana na mahita inaelekea..sema na baba mtoto ni mahita mtupu..hata mama anaelekea kuwa mahita pia

    ReplyDelete
  8. lakini brother michuzi hata wewe si mtaratibu,hivyo sioni ajabu kumuona Amina hapa kila siku.
    kama vinalika ,kula tu bro.

    ReplyDelete
  9. Hii sasa zahama ina maana hata mzee Mahita nae alikuwa anachapa Amina. Duh ama kweli tz kwa biashara ya chini tumekwisha.

    ReplyDelete
  10. Hivi hio k*ma ya Amina tamu kiasi gani mpaka mseme kila mweshimiwa kalala nae acheni kuvunyia watu heshima ,Amina ana mumewe na hao waheshimiwa wana wake zao msivunjie heshima viongozi wenu sio vizuri.

    ReplyDelete
  11. Mambo fulani fulani anayaweza sana alafu kuna pairs nyingi katika mzunguko!

    ReplyDelete
  12. Mijitu mingine sijui haifikirii inaandika Comments ndefu we unafikiria watu hawana kazi kama wewe ili wasome comment kama hizi. Why not summarize.

    ReplyDelete
  13. Hivi inaonesha huyu mbunge maarufu sana maana naona michuzi kila tukio lake unakava halahala tuu isiwe ndo kipozeo

    ReplyDelete
  14. mimi nitamsaidia michuzi kidogo kuwa kuna watu huwa wanapendwa na camera, na inakuwa ngumu sana kuwa kwepa na kazi ya michuzi kama tuijuavyo ni kufotoa na kutuhabarisha kwa wale watakao bahatika kuread between the line watanielewa.... Na si vinginevyo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...