leo nimefurahi na kushukuru sana kutembelewa na mdau wa blogu hii toka ughaibuni aitwaye dennis ninayepozi naye hapa. nasikitika kwamba anaondoka kesho dei breki na mbaya zaidi alikuja mara moja kwa ajili ya msiba. asante dennis kwa kunitembelea. Nafurahi pia kuona wengine mmemaindi sie kushikana mikono na kila mmoja kuja na tafsiri yake. poa tu!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. huyu atakuwa anatoka nchi za Europe,maana wanaotokaga marekani huwa wanajifanya wanajua hapo ungekuta anamablingbling tishirt kubwa nini,huyu anaonekana poa,kwanza marekani wengi huwa hawarudi sababu sheria ngumu,labda arudi for good.

    ReplyDelete
  2. Sheria ni ngumu kote" kwenda" na "kurudi" kwa hiyo hata akina sisis tunaotamani sana sana kwenda Marekani inakuwa vigumu sana kwenda.

    ReplyDelete
  3. wamarekani sio wote wewe mpumbavu wanatabia zile hapo bongo kwenyewe watu unawaona wamepiga mafeki yao hata europe unayoiongelea sijajua ipi..niliona picha za watu wa UK.wao ndo kabisa wamevaa matshirt makubwa yana majina ya miji yote ya usa.na kila kitu ulichokandia hapo juu

    ReplyDelete
  4. Anonymous wa 9.34 Pm ,Acha kuwa na upeo finyu wa mambo ukiwa umevaa maBling tuu basi unatoka Marekani.Mbona kila siku watu wanaingia Bongo na Kurudi US na wala hawako hivyo unavyo sema wewe?
    Usipende ku make sugestions za kubuni. Mambo sio ulimbukeni wa mwaka 40 na saba tena...

    ReplyDelete
  5. Anonymous wa juu uliyesema wa Marekani wanarudi bongo na kurudi marekani kila siku ni wangapi hao? Mimi naona wewe ndio wa mwaka 40, watu wamejazana Houston Bongo wanaiona kupitia issa michuzi, jamaa kuweni wakweli.

    Kila mwaka American Embassy Dar ES Salaam, inapokea maombi ya viza ya wabongo wanaotaka "kuzamia" U.S.A zaidi ya 10,000, na kati ya hao zaidi ya robo yao wanafanikiwa kupenya, lakini hatuwaoni kurudi, wengine hata ubalozi huo mpya hawaujui mahali ulipo.
    Bwana Michuzi fanya fanya ututumie picha ya ubalozi mpya wa Marekani!.

    ReplyDelete
  6. Where to find you, Michuzi when I visit Bongo? I bet your a roving photojournalism does not give you a chance to sit down and intertain 'strangers'!

    ReplyDelete
  7. Jamani hayo ya kweli mimi naogopa comments hizi ninachojua watu huwa wanajitahidi pia kurudi sijui kama watu wakifika marekani wanafungwa miguu hivi jamani haya ya kweli au ni uzushi. Lakini ninaowajua ambao walienda miaka ya 47 na ni wated airport ni wengi sana sijui mnasemaje jamani.

    ReplyDelete
  8. NYIE MA STUPID ANONYMOUS! WACHENI KUONGEA UTUMBO WA KUTUTAPISHA HAPA! HAKUNA HATA MMJA WENU ALIYEWAHI KUVUKA MIPAKA YA AFRICA KATI YENU! HAKUNA MNACHOKIJUA, SAFIRINI KWANZA AU ULIZENI ZAIDI AU NENDENI KWENYE ELIMU YA WATU WAZIMA MKAJIFUNZE INTERNATIONAL INTERGRATION LAW! NA GEOGRAPHY IN POLITICS, NDIO MTAJUA YA NJE YA AFRICA HATA BILA YA KUSAFIRI. OTHERWISE MSIJE HAPA KWA MICHUZI!

    ReplyDelete
  9. Marekani wanaume hatupigi picha tumeshikana mikono..Hayo mabo ya kizamani.

    ReplyDelete
  10. We wa herufi kubwa unataka kusema marekani mbali ndio maana watu hawarudi au?sisi tunavyojua wanaogopa kurudi sababu marekani sheria sio flexible kama nchi nyingine yaani wengi wanaenda wanajifanya mastudent mida inaisha wanakuwa wameeoza,sasa wakirudi watakuwa na kosa la kuvunja sheria na hawataiona marekani tena.usijifanye unajua sana na msichonge sana huyu jamaa labda katoka South Africa tu maana huko nako siku hizi deal.

    ReplyDelete
  11. Bw. Trio hoja zako nzito na zinakubalika. Lakini si unaona hapo wanasema walio bakia bongo hawajui kinachowakwamisha wa marekani kurudi nyumbani, mpaka wakasome Geography? Je ni wabongo wangapi walikuwa kwenye yale maandamano ya kupewa American Citizenship? Maana tulijaribu kuangalia labda tuweza kuona hata bendera ya Tanzania imebebwa na japo mbongo mmoja lakini wapi. Kama kweli wana uchungu wangebeba tu, kama walivyofanya Mexicans, maana hawakumuogopa hata "Lou Dobbs" wa CNN.

    ReplyDelete
  12. Kwani MTU KUVAA MA T SHIRT MAKUBWA AMA MA BLINGBLING HIYO SI UPENDELEO WA MTU MWENYEWE AKIWA MJINGA MWELEVU WEWE KINAKUUMA NINI. NILIDHANI TUKO NCHI HURU HATUKO TARIBANI AMBAKO KUNA MASHARTI KILA KUKICHA. MTU AKITOKA MAREKANI AMA EUROPE KAMA HAJAKUVUNJIA HESHIMA WEWE KINAKUUMA NINI.MJOMBA UNAONEKANA UNAHASIRA SANA MAISHA. THIS IS A FREE COUNTRY MAN YA DO WHAT YA GOT TO DO KAMA UNAHASIRA UTAUMIA SANA MDOGO WANGU MAANA WATU WANAFANYA VITU VINGI AMBAVYO HUPENDI INAONEKANA. POLE SANA KAKA HATA MIMI NAVAA MASHATI MAPANA NA MABLING BLING KIBAO!!!

    ReplyDelete
  13. Mzee Michuzi unaniogopesha bwana Hii TABIA ya kushikana shikana mikono na wanaume DooH! umeianza lini? Well this is something I will never expect ya to do. Looking happy mwenyewe hii kali, na huyo Tall anachekelea hii tabia siyo nzuri vijana kesho tuta anza mabusu motomoto!

    ReplyDelete
  14. michuzi mimi sioni shida yoyote hapo watu wameshakaa marekani vichwa vimeharibika kabisa kabisa na hayo masuala mazima wanayotaka kuyaanzisha hapo juu sisi ni watz bwana tunashikana mikono popote na wakati wowote tunapotaka......

    ReplyDelete
  15. Tabia mbaya hiyo watu wazima kushikana mikono? Hii ni aibu mwisho kuanza kupapasana. Wewe unaye sifia hiitabia unaelekea una lako jambo, tuambie basi watu tufunge trela!

    ReplyDelete
  16. Acheni ushamba!

    Kushikana mkono haina tatizo lolote katika utamaduni wa Mwafrika.

    Ni fikra za wamarekani zilizopotoka ndio wanasema wanaume hawawezi kushikana mikono bila kuwa na malengo mengine, lakini kwetu sisi hivi ni vitu vidogo tu.

    ReplyDelete
  17. We Msami shoga au? Kama mwanaume rijali kwanini ujishitukie na kuogopa kushikana mikono?
    Ni uamuzi wa mtu binafsi; kaam mtu yuko na rafiki au kaka yake akamshika mkono we tatizo lako nini.

    Unajua wanasaikolojia wanasema people who are extreme hormophobes have something to hide or are in denial of their own sexuality issues.

    Dume rijali halijishitukii hata siku 1. Najua huko Marekani mna tabia hizi za kujishtukia na kuona kila kitu kidogo ni dalili ya kuwa gay... ila jiulize sana ukianza kuwa kila ulionalo we unafikiria ushoga inabidi ujiangalie deep inside na jiulize why

    ReplyDelete
  18. Hahahahahh, Watu wanachekesha, sasa walitaka washikane miguu nini?! do. Ni kukosa mawazo tu. Au mmechoka nini kanyweni soda au maji basi.

    ReplyDelete
  19. Mhhh! Denis na wewe kujshau umeona haiwezekani kuja bongo bila kujitoa kwenye blogu?? Nilikua nikikusikia kumbe kweli. By the way umependeza na viraba vyako vimetulia!!!

    KS

    ReplyDelete
  20. Mh! ama kweli kazi ipo. Kwa nyinyi mnaosagia wanaume kushikana mikono hamnishangazi kwa sababu hata miti kuna ambayo inapeperushwa na upepo na kuna mingine haing'oki hata ikipigwa na radi. Kwa utamaduni wetu waafrika, wanaume kushikana mikono siyo kitu cha ajabu na pia wanaume wawili kulala kitanda kimoja haina maana kuwa mmoja wao ama wote ni machoko.
    Bahati mbaya baadhi yenu mkishafika magharibi basi kitu cha kwanza ni kuuvua uafrika na kuuvaa umagharibi. "yu noo waram seying?" pumbavu sana. Jivunieni uafrika mbwa nyie.

    ReplyDelete
  21. Ndio kabisa,nakubaliana na wewe annony hapo juu,watu wamezidi kuiga mambo ya kigeni,kila mtu choko ,sijui nani,mambo ya kizamani hayo.Kwani wakishikana mikono kuna ubaya gani?mmekosa tuu vya kuongea,shenz type.

    ReplyDelete
  22. hata mimi namwunga mkono msami si tabia nzuri wanaume kushikana mikono. najua mtakasirika lakini hiyo si mira ya kiafrika ni mira ya kichoko. sisemi hawa wapendanao hapo juu ni machoko lakini si tabia nzuri.Nina ishi hapa hapa bongo lakini sidhani kama ni vema kushikanashikana wanaume.

    ReplyDelete
  23. hahahahaha!!! ai lavu yu oll!

    ReplyDelete
  24. Denis hebu acha ushamba ndugu yangu, yaani utafikiri umekulia uswahilini, kwanza nakupongeza sana kwa kazi yako nzuri, unajitahidi sana kijana kujitafutia mkate wako wa kila siku. Lakini Denis tuache uongo mtoto unapenda majungu weye! Halafu ile website yako mbona ina mambo ya kiswahili sana!???
    Hebu punguza uswahili kidogo uonekane angalau na wewe ni mtanzania uliyekulia ulaya! hiyokushikana mikono mimi sioni kama inaleta shoo mbaya ni kitu cha kawaida sema tu sisi waswahili huwa hatukosi la kusema. Kwa heri.

    ReplyDelete
  25. Michuzi mimi ninamtaka huyo jamaa nitampataje? Niko Oslo huku yuko wapi huyo? Ameoa? Sijali Michuzi Nipe, Nipe, Nipe huyo Dennis jamani usinifanyie roho mbaya, najua wewe sio pimp, but please!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  26. huyo jamaa namfahamu vizuri,shauri yako.

    ReplyDelete
  27. I don't care! Ninamtaka in anyways!

    ReplyDelete
  28. Kaoa huyoo...

    ReplyDelete
  29. Sijali ndoa ni paper tu.

    ReplyDelete
  30. jamaa inaelekea anapenda sifa sifa

    ReplyDelete
  31. attention....... watanzania wenzangu.. kuna mtu ambaye anatumia jina la MSAMI kuandika comment.... naomba kaka yangu utumie jian lako mwenyewe.... kwa nini unaaribu majina ya watu tumie jina lako mwenyewe acha kuaribu majina ya watu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...