wah. wakiwa bungeni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Waheshimiwa kwa kujadili mada siku hizi siyo mchezo. Nafikiri mpaka mwaka kesho tanzania itakuwa vumbi kweli kweli.

    ReplyDelete
  2. mapengo kibao wameshaanza kukwepa vikao, shenzi kabisa!

    ReplyDelete
  3. Nyie wabunge hivi mnaona hizi dili na kwanini nchi inakuwa masikini?

    "The report cites the recent sale of shares of East African Gold Mines of Australia to Placer Dome in Mara at the cost of USD 252 million, while the government was left without any remittances.

    "Ultimately the Placer Dome has bought off the Barrick Gold Ltd to become the biggest mining investor in the world but the government has been left empty handed."

    Pole sana watanzania kwa kuwa na mali lakini wajanja wanajichukulia hata bila kunawa. Je ni Elimu ndogo au ni nini?

    ReplyDelete
  4. Haki ya nani tanzania italiwa na wenye meno.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...