kundi la mina nawe toka sauzi liliburudisha usiku kuamkia leo ma-miss tz 2006 walipopewa zawadi zao royo pam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hivi sepetu nimelisikia wapi hili jina la mtu fulani maarufu au?

    ReplyDelete
  2. Ni jina la baba mkwe wangu, tutaanza kaz hivi karibuni kabal hawajarudi makwao.Mtaipata!

    ReplyDelete
  3. Tatizo la Miss wetu hayupo flexible, anakaza sana mwili wake aangalie mwenzie alivyojiachia, yeye nakaza mwili unafikiri nasikiliza "charge" fulani mwilini?

    ReplyDelete
  4. Watoto wazuri ila olewako uwende chukuchuku utakiona cha mtema kuni hapo mwendo na papyere tuuu tena ukiweza nenda nazo za kutosha usizechekesha ukipata pancha njiani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...