nikiwa na mh. mudhihir m. mudhihir mbunge wa mchinga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Michuzi naomba hutuwekee picha ya Zitto kabwe, huyu kijaa anawasumbua sana ccm. Wanaweza kum-kolimba huyu

    ReplyDelete
  2. hivi mzee michuzi kila ukiwapiga picha hawa waheshimiwa unawapiga kwanza wenyewe halafu tena unapiga nao, au ni kwamba unapigana nao tu? Nauliza hivi kwa sababu mara moja moja ningeomba utupe 'version' nyingine, tumeshakujua na kukuzoea mzee. Naelewa kwamba hii ni 'pasono peji' yako lakini inatia mashaka kama vile unataka makuu vile??? Kwa mtazamo wangu na wewe bungeni utaingia tu, najua unavuta muda tu, sina wasiwasi na umaarufu wako.

    ReplyDelete
  3. Kaka mbona hapa unaonekana kama umezeeka kidogo, samahani kwa hilo

    ReplyDelete
  4. sawa kabisa rhxoqsa hata mi namshangaa mbona kunyanzi zimetoka ghafla hivyo ndo muonekano ua pozi la picha hilo

    ReplyDelete
  5. kukijibu anony wa 4:54:29 ni kweli kama ulivyosema hii ni pesono peji ama albamu yangu ya picha niloamua kushea na watu wengine, si jarida, si gazeti na wala si kitabu ambacho yanibidi nifuate masharti fulani. hivyo nijibandike tu ili nipate nini ambacho sina tayari?

    ReplyDelete
  6. Ninaudhika sana na tabia za watu kusema hovyo kwani hakuna la maana lazima kuwe na vijineno vya kihuni,au ustarabu unatushinda watu wengi hivi hii ndo demokrasia tunayoililia kila siku,Wenzetu Michuzi kaamua kwa ridhaa yake kutuachia tuwe tunaangalia kazi zake sasa naona inajenga kero tuu si na wengine mfungue blog zenu na mzigeuze tabloid ili muandike matusi yote mnayoyajua na wenye shida watazisoma hii itasaidia sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...