Home
Unlabelled
mvua
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani hali ya bongo,likiwaka mnalia njaa.ikinyesha haina adabu.mnataka tsunami sasa
ReplyDeletemvua hii imenyesha saa ngapi mbona huku kwetu hakuna hata tone la mvua?
ReplyDeleteBongo tunapenda kuwe na mawingu na kaubaridi fulani basi, hatutaki mvua wala jua, hata Jay MO aliuliza kati ya jua na mvua mnapenda nini? akakosa jibu
ReplyDeletemvua inategemea na jua vyote ni heri..watembezi kupitia kitua cha mwenge inakuwa soo topetope..sema machinga wauza miavuli nao wanapata piua sie wazee wa gahawa na kashata..ndo tunanufaishana sie watu wa kima cha chini
ReplyDeleteMie nafurahia tu kuona hiyo barabara leo haina foleni ya magari. Hapo ukirusha jiwe tu linatua kwetu.
ReplyDeleteYaani Hii hali inaniogopesha sana ndiyo maana sipendi kuja bongo Toka niondoke sijarudi.hapa OHIO mambo ni poa tu, hali kama ni hii hafadhali nilowee huku huku nasukuma BIMA kali sidhani kama nitarudi kama mambo yenyewe ni hivi Bwana Michuzi.Poleni ndugu zangu.
ReplyDeleteumechoka kuogesha wazee nini?kwenu huko?soma urudi uendeleze nchi investment sasa hivi bongo wageni wanamiminika we unapiga box tu huko na kuendesha bimma angalia usije ukapiga box hata bongo miaka ya mbele.bongo starehe nyingi rudi!!!!tulikuwa huko sasa tuko bongo kama wajasilia mali na tuna drive hammer new shape!!
ReplyDeletejohn msami unachemsha, elewe kwamba maendeleo ya bongo yataletwa na wabongo wenyewe. sasa nyie ambao mmebaatika kwenda nje baada ya kurudi na kuinvest bongo kwa kusukuma kugurudumu la maendeleo unagoma eti imechoka. you got be ashemed to yourself for what you said man.
ReplyDeletewatu wengi wanaogopa kurudi bongo ni wale wanatoka nyumbani kwao kumechoka kwa sanaa wanafika mamtoni wanakuta vitu amabvyo hawajawahi kudream wanajisahau wanaona wamefika. msami kama umetoka kwenu ingekuwa safi sizani kama kwanini ungeona noma kurudi bongo
ReplyDeleteMichuzi MVUA haina aibu au SERIKALI aina aibu? Allah! Ile mifereji aliyoiacha mkoloni tokea zaidi ya miaka 40 iliyopita CCM ilimuona mjinga sana! Hata kuiendeleza wameshindwa! Sasa maradhi baada ya hapo kwa watoto mtindo mmoja! Wao na watoto zao miguu juu! Maningini yao! Shenzi wakubwa! "Si watuuzie tu nchi watu wa Ughaibuni?"(joke).
ReplyDeletejamani atarudi vipi alijipa ukimbizi wa rwanda au sudan wangapi tumeona wamerudi huna maana wewe familia yako imezidiwa huku ki maisha unangangania bima si ajabu hata leo wamelala njaa Nyumbani ni nyumbani hat kama usiku unapita kwanza huko sio kwenu rudi ukalime hako kamwanamke ka kizungu katakutosa one day.
ReplyDeletehapo wahindi ndo wana kachance ka kuzibua vyoo vyao jamani serikali angalie hilo kipindupindu hakiishi dar kwa usawa huo.
ReplyDeleteDu! Msami umebeba mabox mpaka umenunua bima? kweli mabox yanalipa, au ulikuwa unaviosha vibibi vizee, au umeolewa? lakini hata kama unasukuma bima wakati unabaguliwa haina maana, rudi nchini mwako ili uwe huru
ReplyDeleteNilipoona picha mwanzo nilidhania New Orleans. Kumbe DSM! Hivi hakuna DRAINAGE huko City Centre!
ReplyDeletewe Chemi Che-Mponda usijishaue kwa kwenda huko boston.
ReplyDeleteOnce again please jamani naomba mtumie majina yenu basi sasa wewe kujiita JOHN MSAMI wakati sio ...please jamani humu ndani ya blog kuna watu wanatumia majina ya watu naomba mkiona jina lolote linahusiana na MSAMI'S naomba msijibu kitu kuna watu wanatumai majian ya watu ...PLEASE JAMANI KAMA MNA MATATIZO NA HAO KIAN MSAMIS WAPIGIENI SIMU MUWAAMBIE ..PLEASE NAOMBA WATU MKUWE...MICHUZI NAOMBA UFUTE MTU YOYOTE ANAYETUMIA MSAMI PLEASE NAKUOMBA KAKA.
ReplyDelete