watu kibao walijitokeza kumpongeza miss tz 2006 wema sepetu kuwa pia miss photopoint photogenic 2006 ijumaa usiku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. Bongo jamani raha sana

    ReplyDelete
  2. mama .. mathew kawa kibongo ivyo kweli starehe mbele

    ReplyDelete
  3. girls ur looking hot nice one.

    ReplyDelete
  4. jamani huyo Anitha vipi gauni hilooo?? limemganda halimtoki mwilini? Stella mtoto anazambi sana anampa mwenzake makombo ya Motie

    ReplyDelete
  5. Naona mzee Kinje kafurahiiiiii! sawa mzee nakufagilia, huna makuu.Nisalimie mama na baba.

    ReplyDelete
  6. Anaye wajua hawa watu tupe majina yao basi?

    ReplyDelete
  7. wewe ni wa pili toka kulia kwa kinje unaitwa stella............nafikiri sijakosea

    ReplyDelete
  8. Hujakosea ni stella,alafu kuna anita ambaye ndo mpambe wake hapo,stella ni noma jamani huyo demu kinje,mtoto wa mengi,na unae jijua pia list ni ndefu tuu.ila mzuri wa sura.lol

    ReplyDelete
  9. Jamani nyie mtoto wa mengi si alikufa kwa ngoma sasa huyu demu mnayemsema hapa mmeshampima na kujua afya yake au mnazama tu ajali kazini.

    ReplyDelete
  10. Huyu wa pili kushoto anaitwa Judy, anauza maandazi Tim Hortons Canada

    ReplyDelete
  11. Wote hao namba mbaya kuanzia huyo mathew,judy,kinje ndo usiseme,agnes nae ni luzi tuu,alikuwa analiwa na meneja wa crdb bank,stellah noma kaeni mbali na anita anafanya anachofanya stella,niulizeni mimi niko bongo hapa najua data zote za hawa masupaa staa wahapa mzee,wote hapo ni sooo!

    ReplyDelete
  12. mwenye top nyekundu anitwa happy mtoto kwao choka mbaya kampata kinje masikini anafiliri kapata kumbe miwaya tu.Eti ndio kapersonal assitant wake.Mbaya zaidi wanaliwa wote na Stella wa motie imagine miwaya plus miwaya si bomu hilo.

    ReplyDelete
  13. MREKEBISHARIKA we zama tuu bongo hao wakina kinje wasikutishe sana ila kama unaenda anga zake mzee anakuwa noma so takecare.lakini hao wote unaowaona ni ndugu zetu waliopotea kwa mambo ya kawaida tuu.

    ReplyDelete
  14. Stella mwenyewe kajiaribia tuu,mtoto angekuwa mbali sana huyo cause ni kichwa shule mi nimesoma nae na namjua toka mdogo mtoto ana akili za darasani sio za ulimwengu na ndo kilicho mponza.sema ndo vile tuu tamaa.

    ReplyDelete
  15. Jamani, kuna dada amesimama wa kwanza kabisa kulia. Mbona huyo naona hamjamwongelea? Au kwasababu haonekani vizuri?
    Mimi amenivutia sana. Ebu anayemfahamu aweke jina lake hapa.

    ReplyDelete
  16. Anaitwa KOKU

    ReplyDelete
  17. kweli kizzuri ni mikononi mwa mwenye nacho............ndugu yangu nambie kama una mamcho kweli ndiyo huyo dada out of watu wote hao au kwa kuwa umeambiwa kuna cheni ya ngoma hapo.

    'usiogope maneno ya blog hayamzuii mtu kuendelea na zake mbinu'....wewe teuwa kitu kilichotulia acha kuangalia nani asemwi.

    mie ningekushauri dada wa pili kabla ya kinje.huyu mtoto anaonekana moto sana ndani ya kitanda kaka.na pia ukimuangali sana anafaa kuwa mama wa nyumbani.usife moyo.

    HOLLA!

    ReplyDelete
  18. Hivi koku anatokea mbeya make mimi ningependa nimtafute nijirushe naye jmosi hii nikifika bongo nipe contact zake basi! aliyenazo hata mail.

    ReplyDelete
  19. Hakai Mbeya ila alisoma LOREZA Mbeya na ni mchanganyiko wa Mbeya na Bukoba ndio umetoa kitu hicho.Ukivinjari viwanja hapa DAR utamuona na heshima zake hilo lazima uelewe sawa muwindaji?

    ReplyDelete
  20. wewe anony mwenye shida na Koku waweza kumpata kwa kutumia email kokulme@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  21. Hivi huyo Kinje ndo huyo jambazi anayemuoa mtoto wa JK? Sasa kama anaeneza ukimwi kwanini babaake Musuguli amrudishi kwao Uganda alipomuokota?

    ReplyDelete
  22. NO ANONY HAPO JUU,KINJE SI JAMBAZI,UMEMCHANGANYA NA ALBERT MARWA,ALBERT NDO JAMBAZI ANAYETAKA KUOA MTOTO WA JK.SI KINJE.

    ReplyDelete
  23. hivi huyo mtoto wa jk bado hajaolewa tu na huyo jambazi?mana tumeanza kusikia siku nyingi hizi habari,harusi lini?

    ReplyDelete
  24. Mimi mwindaji naona naelekea kupata nilitaka kweli mtu wa bukoba hila nikakosea kusema mbeya. Mbona email ni un-reachable, nimetuma imebaunzi au umekosea nini?

    ReplyDelete
  25. Wewe mwindaji unaye taka mtu wa bukoba huyo apo mtoto stellah,ila ndo vile.

    ReplyDelete
  26. Du,,wabongo mnamaneno kinoma,,hamuwezi kunyamaza mpaka mseme kila kitu,,kila mtu anauwamuzi wa kuishi navyotaka,,kama na wewe unataka, just go ahead siyo kufuatilia maisha ya watu,no body care,anaukimwi anaukimwi,,nani kamipima,,mtakufa nyie huyo mtamuacha hapo hapo,,,

    ReplyDelete
  27. Sio suala la kusema wabongo wana meneno maneno mnayo wenyewe mnaojiita masupastaa, kazi kuendekeza upumbavu ambao wengine wanaauita umalay, hatutafika namna hii jamani tujirekebishe!
    Kama m2 ni tabia zake mwache awekwe wazi....hahahaaaa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...