
Last night i bumped into Jack Pemba at Sanaa Pub (Nyumba ya Sanaa) where he was having a sip with Warren Barton, Global Scouting Bureau (GSB)'s head of coaching. He told me that this afternoon he is going to dish out 500,000/- to each one of the U-17 national soccer team and 1m/- each to the team's two coaches. I am told this event is going to be held at 1pm at the Regency hotel at Msasani. Chadema chairman Freeman Mbowe is expected to pay a courtesy call on the senior national team Taifa Stars residing at the same hotel an hour from now. President Jakaya Kikwete visited Stars' training camp at Karume Stadium on Tuesday.
Tapeli huyo...Sasa kuwapa shilingi laki tano ndo nini kama alishindwa kuwalipia ticket...Watanzania acheni show off... Kweli, maskini hakipata jamani...
ReplyDeleteSASA HUYO CHADEMA TENA NA SOKA YA TANZANIA WAPI WAPI.......MICHUZI EBU TUAMBIWE UKWELI HUYU JAMAA ANA KITU GANI ANATAFUTA.AU NAYE ANAJIANDAA KUINGIA BUNGENI MAANA NSHINDWA KUELEWA NA HUYU MBOWE INAKUWAJE.
ReplyDeleteJAKI PEMBA ATUELEZE WAKO WAPI KINA SHEARER NA SIR BOBBY ROBSON ALIOSEMA ATAKUJA NAO......AU NDIO MICHANGA YA USO KAMA KAWAIDA YAKE....ALIANZA USANII LONGTIME KIPINDI KILE KULE UPANGA ALIKUSANYA MICHANGO YA ARUSI AKATAMBAA ZAKE UINGEREZA....YULE BINTI AKAACHWA KWENYE MATAA....NDIO MAANA WATANZANIA WANA MASWALI MENGI.....
ReplyDeletesasa hizo laki 5 ndiyo anazitoa kwa hasira au ndiyo anataka anaitangaza GSB? Kwa kweli TFF mmefanya sawasawa kumpiga chini huyu jamaa na kampuni yake uchwara. Mimi nilitegemea kumwona Shearer ndani ya Dar kama alivyoahidi lakini badala yake amekwenda kumbeba bosi wake.
ReplyDeleteJAKI PEMBA YULE ULIOKUJA NAE NDIO WARREN BARTON FULL BACK WA NEWCASTLE FOOTBALL CLUB AU ZUGA....HAPA CHINI NDIO SITE YA WARREN BARTON....WATANZANIA RUKSA KUANGALIA KAMA NDIO MWENYEWE AU LA
ReplyDeleteHi, and welcome to my Official website. After hanging up my boots I'm looking forward to a new career in coaching. I'll be keeping you updated on my news and football issues in general. Thank your for your support.
Warren Barton
Latest news
Barton backing Roederto take United glory - 29/06/2006
Lee Ryder of the Newcastle Evening Chronicle reports on Wal's thoughts... More
Fred must get it dead right - 03/02/2006
The Mirror report on a number the views of a number of ex-Toon players after the demise of Greame Souness... More
Barton is hoping to follow in Scott's steps - 05/11/2005
Stuart Rayner's article focusing on Warren's ambitions to become a manager. More
I'm helping to re-build lives - 19/07/2005
News on Warren doing hsi bit for the Tsunali appeal More
New defenders needed - 23/11/2004
Alan Oliver of the Newcastle Evening Chronicle interviews Warren about his thoughts on Newcastle's season. More
WEB SITE YA WARREN BARTON EX FULL BACK WA NEWCASTLE UNITED FOTBALL CLUB NI MediaBind.com
ReplyDeleteBig Les, Ginola, and Warren (Season: 95-96)
Size: 37Kb Dimensions: 320 x 447
Download Time: 5 secs at 56Kb/s
d.com,
Huyu jamaa kama kweli kayatoa mbona mdogo wake bado mpiga picha wa kawaida, Eliudi Pemba mbona choka mbaya, kama angetaka kwanza aanze kumsaidia mdogo wake then haje kwa Taifa stars...Charity starts at home
ReplyDeleteMimi nashangaa bado kajakamatwa na kuhojiwa maana huyu ni mbaya kuliko Hubert Sauper, anafanya viloja vyake ndani ya Nchi alafu anaachwa tu, jamani vyombo vya dola vimkamate mtu huyu na hata hizo pesa anazotoa ingefaa zichunguzwe zinatoka wapi, kama anataka kwanini asianzishe timu yake kama alivyofanya Kajumulo, achaneni naye anazuga tu.
ReplyDeleteMrekebishaji
ReplyDeleteHuyu Jaki Pemba mie naona anaushamba kidogo.
Kwanza-kama angekua na mtu mwenye akili timamu naona angepeleka umeme kwao na angenunua nyumba aishi badala ya kuishi hotelini.
Pili-hivi Michuzi kweli unaweza kupost picha kama hiyo wakati kila kitu unaona ni ujanja ujanja au kaka na wewe unakula genji hapo?Tumechoka na huu upuuzi inabidi tuachane na hizi tabi za kibwege.
Tatu-Pemba kwanini unataka kudanganya watu unadhani uongo wako utafikia mpaka wapi ushakua mkubwa kama unataka kujitangaza banana na hao wazaire wako watakuimba utajulikana na watu wasiokua na maana wenzio unatuchosha kupotezana muda.
Nne-hivi mtu mwenye pesa na akili timamu unaweza kuwaonyesha waandishi pesa unataka kuthibitisha nini?Ushakua mkubwa acha utoto.
Kuna mtu hapo juu yangu kasema kwao hakuna umeme na yeye nakaa hotelini, ina maana hana nyumba dar. Kwanini hakae hotel sasa, huu ushmba mwingine wa kushika hela ukubwani huna tabu. Mimi nakukaa kwangu ulaya sijawahi kuona mzungu yupo kwenye mji aliotoka na kukulia anaenda kulala hotel.Huyu jamaa ni mshamba wa kutupa, ndio maana TFF wamempiga chini.
ReplyDeleteI don’t think Michuzi is at fault hapa. Nafikiri hii blog yake imekuwa maarufu sana kiasi kwamba watu wanamtumia ili kupata ujiko au kufagiliwa. Mimi namjua Michuzi not personaly na vile vile namjua Jack. Sizani michuzi ameandika hivi kwa kumfagilia jamaa, lakini Jack Pemab kamwambia nini cha kuandika. Kwa ninavyomjua Jack lazima ame-take advantage of this guy to advertise his rubbish.....
ReplyDeleteMichuzi kwa hisani yako naomba usikose kutupa picha za mechi ya jumamosi ikiwemo kikosi kamili na majina, watu tuna mapenzi ya kweli na timu yetu sema uwezo na umbali ndio tatizo.
ReplyDeletepili kuna mtu ameuliza kuhusu Freeman Mbowe na Soka kulikoni? huyu jamaa tayari ni mbunge kwa hiyo hana anachokitegemea hapo mpaka baada ya miaka minne ijayo, pili ni mpenzi mkubwa wa soka, pia ni mfadhili or at least alikuwa miaka hiyo mmoja wa wafadhili wa Yanga isipokuwa tu ni wale watu waliokuwa kwenye background na siyo kutafuta umaarufu,jaokuwa angetaka ingefanywa hivyo, jamaa ni Yanga wa kutupwa kiasi kwamba miaka hiyo ya nyuma alikuwa akienda kujichanganya katika baa za kule jangwani pindi timu ikishinda japokuwa alikuwa na baa yake mwenyewe kubwa tu,kwa hiyo hamna agenda yoyote ya siri, najua kuna baadhi watatukana sana na kuniona namfagilia but the truth needs to be told, we have to learn to give credit when its due.
Eliude ni mtu wa kawaida tu, anafanya kazi yake kihalali, and he is very good at what he does if not one of the best hapo bongo, na hana matatizo na mtu na wala siyo choke namna hiyo lakini kutokana na mbwembwe za huyo Jack, siku hizi, zamani Jeki, ndio maana na yeye anakuwa kwenye spotlight, na huyo Jeki ni mdogo wake na siyo kaka yake au labda kama ndio yale mambo ya mwenye hela ndio mkubwa.
ReplyDeleteKwahiyo kama sijakosea wewe unasema kwamba unawajua sana hawa jamaa. Na vilevile unasema kwamba mdogo wako akiwa anapesa inabidi asikusaidie RIGHT?
ReplyDeleteGuys,
ReplyDeletePlease if y'all don't mind help me to understand who is Jack Pemba and what is he doing for living? I am just curious because many blog member have commented and it seems like the guy is so popular downthere!
Thanks a lot sorry
jaki pemba acha longo longo ndugu yangu huku UK wote tumekushitukia hata yule mama yako wakizungu kakudis nakachukua BMW yake na mara ya mwisho nilikuona mitaa ya kati nakigazeti kwapani unapiga mguu sasa lakitano kwa kila mchwzaji utatoa wapi?wewe mwenyewe unahitaji £150 ,aah anyway labda sindicate imeitika(lotto)
ReplyDeletewabongo bwana! Kazi kuponda wenzetu tu.Nyie mmefanya nini au mmeshatoa kiasi gani huko nyumbani? Acheni wivu na vijiba vya roho.Mwenzenu akifanikiwa kidogo basi watu mnaanza madongo.Wahenga walisema "mtaji wa maskini ni majungu." Na hapa watu mmedhihirisha hilo.Na kumbukeni "mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe." Hayo mawe yote mnayorusha ina maana Jack Pemba ni mti wenye matunda.
ReplyDeleteMichuzi acha tabia ya kupiga picha na matapeli,na wezi na kuzipost ktk blog yako. Mara uko na Pemba, mara uko na Janguo's ambao walikuwa jela majuu, mara unatupa story ya Lusajo Kibonde ambaye katoka jela juzi juzi tu huko Washington,D.C. Hadhi yako kubwa acha kupost picha za matapeli watakuharibia sifa yako.
ReplyDeleteNawasikitikia sana Vijana wa Tanzania Mna hasira sana na maisha ninawambia fanyeni kazi mnacheza. mnaniongelea mimi mbona hamkuongea ilipowekwa picha ya mwizi Rage? hamuitaji kupiga domo sana mimi nina maisha yangu na kama hayawafurahishi basi siko hapa kuwafurahisha nyie pimbi mnaovaa chupi mpaka inatobokea matakoni bila kuifua hata mara moja, sina haja ya kuwasibitishia chochote, Tafuteni na nyie wazungu wawape hiyo bima. Watanzania wivu umewajaa na FIKRA DUNI mtaishia maneno kwanini msiongee ya kwenu? Sasa mkiona picha za Sheerer zitakusaidieni nini? Sija iba wala kukopa hela kwenu.Niliwambia last time Mpaka nitombe mama zenu ndiyo heshima itaanza.
ReplyDeleteAcha jeuri ya kipumbavu wewe, huoni watu wote wanakuona wewe huna tatizo mtu gani wewe hutaki kurekebishwa. TFF jana wamepokea hela yako kwa shingo upande tu. Usiwe kama mpumbavu kuandikia watu matusi, mimi nitayachukua haya maneno yako na yakupeleka kwenye magazeti ya udaku hili ya kuumbue kabisa, yaani umetukana wananchi wa jamhuri ya muungano kwa kusema ukweli... Kumbuka kwamba post zinaweza kuwa traced zimetoka wapi.
ReplyDeleteHivi wewe Jack una akili wewe? Cha kusema kuwa utalala na mama za watu una maana gani? Kweli umekosa adabu, hivi mzazi wako akionyeshwa print out ya haya matusi uliyo post hapa, au mama yako, au ndugu zako si watakuona wa ajabu. Mimi nilikuwa nafikiri wewe ni mtu wa kujiheshimu kumbe bure kabisa. Matusi kwa wazazi hata kama si wazazi wako yanaweza ku result kwenye laana. Kijana angalia sana, dunia hii tambara bovu.
ReplyDeletejamani hii sasa imefikia pabaya.ebu tufunge mjadala mwacheni jack pemba.kwa nini mnaumia wakati so far amesaidia watu wengi sana hata bila kujitangaza au hamjui? amekosea kutukana!!! jamaa uliyepo UK Unachekesha kusema hana hata pound 150.00 wakati jamaa anakuja hme twice a month on bussiness class fare...wivu,uchovu, MABOX MAZITO! ndio tatizo.
ReplyDeleteHata kama anakuwa Dar kila weekend, ni mshenzi tu. Kisa cha kusema atalala na mama za watu cha nini. Sasa tu anayethubutu kusema kuwa atalala na mama za watu wazi wazi kama hivi, utamwamini umkabidhi mrembo wa dunia, au hata dada yako? Kama ni dada yangu anakwenda U.K., bora akalale railway station, au hata airport kuliko kumtambulisha kwa mshenzi huyo anayetukana mama za watu.
ReplyDeletemichuzi,watanzania wametukaniwa mama zao,sijui hii unalionaje? alifurahishi kabisa! Nadhani kijana Jack Pemba amefika mbali,Lazima Jamhuri na watu wake waheshimiwe no matter how rich you are!!
ReplyDeletehuyo jack anasema atatomba mama zetu yeye wakati mbona amsemi. hakuna mama aliyekuwa anatisha miaka ya nyuma kama mama yake.
ReplyDeletenakwambia hivi kama ukifanya hivyo itakuwa ni kulipa kisasi kwa wale waliomfanya mama yako.
tulia kaka ujue au unataka watu waje wakutombe na wewe hapoa hotelini. angalia brother, watu watagonga ndogo halafu iwe ndiyo mwanzo na mwisho wako.
Jack Pemba amwaga mil 11 Serengeti Boys
ReplyDelete2006-09-01 09:48:01
By Robert Komba
Kampuni ya Uwakala wa Wanasoka ya Global Scouting Burueau, GSB, mhusika mkuu wa safari ya Uingereza ’iliyoota mbawa’ ya timu ya vijana chini ya miaka 17, imetoa sh. milioni 11 za pole kwa wachezaji na makocha wa timu hiyo.
Safari hiyo iliyokuwa ifanyike Agosti 12, ilifutika siku mbili kabla kutokana na utata uliogubika maandalizi yake, huku pande husika GSB na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mmoja ukiulaumu mwingine.
GSB kwa upande wake ilisema ililazimika kufuta safari hiyo baada ya TFF kuchelewa kuwasilisha majina ya wachezaji waliopaswa kusafiri huku baadhi ya yaliyowasilishwa mwishoni yakikosa hati za kusafiria, lakini TFF ilishutumu kwa kusema kampuni hiyo ilifuta safari bila kuwataarifu.
Makamu Rais wa GSB, Jack Pemba, alikabidhi fedha hizo sh. 500,000 kwa kila mchezaji na sh. Milioni Moja kwa kocha mkuu, Rogasian Kaijage na kiasi kama hicho pia kwa msaidizi wake, Sylvestre Marsh.
”Hii ni pole ya usumbufu, ambayo niliahidi kuitoa baada ya safari kuvunjika, nashukuru leo nimetimiza ahadi hiyo,” alisema Pemba akikabidhi fedha hizo kwa Mkurugenzi wa Utawala na Uanachama wa TFF, Raymond Wawa.
Hata hivyo makabidhiano hayo awali jana yaligubikwa na utata mkubwa wa makubaliano, huku kukiwepo tetesi kuwa TFF haikuwa tayari kupokea fedha hizo ambazo GSB ilitaka kuzikabidhi moja kwa moja kwa wahusika.
Wachezaji na makocha hao, hawakupelekwa kwenye hoteli iliyopangwa kwa hafla hiyo ambayo ilikuwa iambatane na chakula cha mchana kwa timu hiyo.
Pande zote mbili hazikuwa tayari kujibu lolote baada ya makabidhiano hayo.
wewe muzee ndiyo unatuambia nini? kwani watu hawajaiona hiyo au haujasoma mawasilisho ya hapo juu kabla yako.....
ReplyDeleteacha usenge na wewe maana naona ndiyo walewale ambao wanafanya hata kabla hawajaambiwa , yaani wanavua nguo kabla hawajaombwa.
rejea message mbili za hapo juu
sina kawaida ya kuingilia mjadala,ila yanapoumuka matusi inabidi nikemee; hasa ndugu yangu jack pemba kwa kutoa maneno yasiyo aali mbele za wabongo wenzio. naomba utake radhi na pia tamba utakavyo ila matusi noma. sawa kaka?
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteTafadhali naomba unisaidie kuelewa Huyo Jack Pemba ndio nani ? kwa sababu naona watu wanabishana sana !Mimi simjui kabisa huyu mtu .
anony hapo juu una bobish sana nawe.wewe kuna picha na michuzi amejaribu kutoa profile yake au haujajua kiswahili vizuri.
ReplyDeleteanyway, huyu ni kijana mmoja anayetokea england ambaye ameukana uraia wa tanzania baada ya kuolewa na mwana dada mmoja huko london ambaye ana hela mbaya.
kutokana na tabia yake ya utapeli na akiangalia jinsi ya kuendelea kuiba aliamua kuanzisha kampuni ambayo ndiyo anayotambia bongo.
lakini kwa critical thinker kama mimi huyu jamaa amepoteza uelekea. yeye kama alizaliwa tanzania au kama ana nia ya kweli ya kuwekekza katika soka basi anaelewa fika hali ya soka la tanzania na malengo ya kampuni yake.
cha kushangaza amekuja hapa anatoa hela hata akiambiwa aandike hiyo report sijui ataandika nini.
nafikiri nimekueleza ninavyomuelewa maana mie simjui huyu jamaa.
tatizo hapo hakuna shule. hebu hatuambiye maana hata mipango gani aliyonayo hatujui. kazi ya kufanya fujo. wakati mama yake na ndugu zake wanalala katika mabanda ya njiwa kule uhindini upanga. sasa angalia hapo.
sina lakuongeza. nafikiri umemfahamu...........namaliza kwa maneno machache.
LIMBUKENE.maana ujinga uo walifanya wakina IDDI JANGUO, miaka ya mwanzo ya tisini au mwishoni themanini. hakuna tena mambo hayo bongo. toa mipango kaka jack watu wakusupport.
I HAVE KNOWN JACKSON AKIM PEMBA FOR YEARS.
ReplyDeleteWHATEVER MAY HAVE HAPPENED IN THE
PAST IS HISTORY--AFTERALL EVEN[REPEAT]EVEN MOTHER THERESA WAS NOT THAT CLEAN.
FROM THE ONSET I HAVE KNOWN ABOUT THIS FOOTBALL PROJECT--THIS HAS BEEN A GENUINE PROJECT FROM THE WORD GO.
WHAT WENT WRONG I DONT KNOW CAUSE I DONT LIVE IN TANZANIA.
WHAT HE IS TRYING TO DO IS FOR THE GOOD OF TANZANIAN.
LETS HOPE IT WAS NOT BUREAUCRACY IN TANZANIA THAT FAILED US.
IT'S TIME WE TANZANIAN'S STAND UP TO BE COUNTED AND GIVE PRAISE WERE IT IS DUE.---CHEAP BANTER WILL GET US NOWHERE.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
LONDON, asante sana kwa kuwaelimisha hao wasionijua.
ReplyDeleteSamahani kwa kutumia lugha chafu pale juu Michuzi. Sitarudia tena.
ReplyDeleteThe point I'm trying to make ni mtu yeyote anaweza ku comment hapa na kujifanya yeye ni Jack Pemba. Hivyo don't take comments seriously.
ReplyDeletePemba utapeli hukuanza leo! Sifa yako ndio inayokuponza kaka! Umeuanza zamani tokea Sekondari pale Shaban Robert. Kwa wale wachache tunaokufahamu this is nothing new, from wizi wa mitihani na kuhamia Kinondoni Sekondari, and many more. So don't come up with few bucks and try to show off as if you have made it. You are nothing but a big show off !
ReplyDeletehello mr michuzi
ReplyDeletehuu ni ushauri tena wa bure
unatokea sana katika hizi picha karibu kila picha tano kunasura yako plese tafuta matukio tofauti tofauti weka picha badala ya kuwa wewe tuuuuuuuuuuuuuuuuuunarudia rudia soory lakini tumeichoka kuangalia sura yako mara moja moja is fine
kutoka unyamwezini usa
Kaka Muhidin, naomba uwaambie anony,ous bloggers nao waache kumtukana Jack, sababu matusi aliyopewa ni vigumu sana kijizuia
ReplyDeletepamoja na wewe mkundu wa bibi yako! nyamaza. huyu jack anatakiwa hajue kwamba wannchi hawafurahishwi na mambo yake ya kujipeleka mbele.
ReplyDelete