adui rushwa anapigwa vita kwa nguvu zote bongo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Rushwa bado ni tatizo kubwa sana mostly kwa nchi za kiafrika, Tanzania sehemu kama cotecna/ticts kumeoza kabisa, bila rushwa document zako pale zitalala usingizi wa pono, nilituma kamzigo kidogo tu bongo ilichukuwa mwezi na ushehee, kuprocess document through this TRA ajents(COTECNA/TICTS).

    ReplyDelete
  2. Watanzania mlioteseka kuprocess document through TICTS/COTECNA nawaombeni kwa moyo wa dhati mseme ukweli hapa, hata kama ulitoa rushwa sema ukweli na kiasi ulichotoa, hii itasaidia kuweka wazi uozo uliopo TICTS/COTECNA na TRA kwa ujumla.

    ReplyDelete
  3. Jamani kupambana na rushwa Tanzania wanafanya zaidi kwa "maneno na maandishi mazuri" kama hayo kwenye picha. Lakini ki-vitendo sijui kama kuna lolote linalofanyika. Suala la viwanja vya kujenga kwa mfano, unapeleka ramani ya nyumba kule ardhi inakaa miaka, hata haileweki ni kitu gani kinaendelea, mara faili halionekani n.k, sasa jamani hivi tutafika kweli?

    ReplyDelete
  4. si ndio hapo michuzi alitaka kutulete stori feki za ccm hapa, rushwa bado ipo na itaendelea kuwapo na hakuna anae onesha dalili za kuitokomeza. Ukiona mtu amekamatwa basi wamemto muanga ili wajisafishie majina. JK alisema ana wajua wala rushwa lakini cha kushangaza akasema eti anawapa muda ili wabadilike sasa hapo wapo serious kweli? Next time usituletee stori feki ukazani watu tuta kuelewa.

    ReplyDelete
  5. Rushwa ni ugonjwa hatari kama ukimwi, rushwa inaua uchumi wa nchi polepole just like HIV-AIDS, WIZARA NYINGI TUU..ARDHI, FEDHA, ELIMU, MADINI, MIUNDO MBINU(UJENZI) zina ukimwi wa rushwa kwa muda mrefu sasa.Idara nyingi sana za serikali zinaugua ukimwi wa rushwa, watanzania kama tukikaa kimya ukimwi wa rushwa utatuangamiza kiuchumi just like the real HIV-AIDS does to human generation!!. Lets wake up and speak loudly, tuweke wazi idara zote na kiasi cha rushwa wanachodemand kwa kila huduma, bila kusahau majina halisi ya wala rushwa katika idara hizo.

    ReplyDelete
  6. Manispaa ya KINONDONI,punguzeni RUSHWA, BULDING PERMIT haitoki bila kitu kidogo na hata ukitoa utaambiwa tunasubiri kikao cha MADIWANI,yaani ni pumba tupu, WAZIRI MAGUFURI unajua MAMA KESSY ni bingwa wa RUSHWA kwa mdomo wako ulisema unajua ,building permit zinachukua zaidi ya mwaka kutoka, MTOE tuone hiyo KASI MPYA NGUVU MPYA.

    ReplyDelete
  7. Uhamiaji ni ofisi nyingine iliyojaa rushwa na uozo uliokithiri na usumbufu wa kipuuzi kwa raisa waenda kuomba huduma ktk ofisi zao

    ReplyDelete
  8. nakubaliana na mzozaji hapo juu.

    Ndio rushwa ni rushwa iwe ya sh 100 au sh mil. 100 na zote zinahitaji adhabu. Lakini ningependa kusikia PCB siku wamemkamata kigogo fulani akipokea rushwa ya mamilioni.. maana tunajua yanatokea au sio wenzangu?

    Ukipata muda chungulia habari hii pia:
    http://thisday.co.tz/News/641.html

    ReplyDelete
  9. JK alipokuwa U.S.A pamoja na mambo mengine alikuja kuomba misaada ya kifedha ya kupambana na RUSHWA. Inasikitisha sana!, badala ya kuomba misaada ya maendeleo, tunaomba fedha kupambana na vikwazo vya maendeleo (Rushwa). Tutaendelea vipi as a country iwapo tunachojali ni maendeleo ya binafsi?

    ReplyDelete
  10. huyo mwenye hiyo gari bila rushwa!!! mwenyewe asinge weza kununua hiyo gari???hamna mshahara bongo ujinga mtupu!!

    ReplyDelete
  11. UKienda kuomba mkopo bank... wewe ndiyo utaangaika kulipa interest kwa mda wote wa mkopo lakini menager kabla hajakupa mkopo anataka umpe 25% ya loan yako usenge mtupu bongo.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...