construction work on the proposed Sam Nujoma road's dual carriageway in Dar is going on smoothly. Pictured left is what used to be the parking lot of the church run by Rev. Kakobe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kakobe maskini sijui atapaki wapi magari ya waumini wake maana kajenga ghala kutosha kiwanja chote, sasa serikali imeamua kutumia eneo lake well hana parking. jamani tunapojenga tuzingatie master plan ya miji or eneo husika na hii hata kama unamaela.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...