hapa ndipo waziri mkuu wa zamani edward moringe sokoine alipokutana na mauti kwa ajali ya gari sehemu za dakawa-dumila aprili 1984

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sasa yeye itakuwaje apange "kukutana na mauti" hapo barabarani? kwa nini wasiende kama Hotel hivi mtu mkubwa kama yeye?

    ReplyDelete
  2. ahhh kabisa tena yeye atakutana naye sehemu ambayo hata hajawahi kuifikiria bora hata ya mwenzake

    ReplyDelete
  3. Mimi nilishapanga loooooooong time kuwa nitakutana nae mauti Rigs Hospitalet hapa hapa Copenhagen! Hata mnitumie chunusi wa aina gani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...