hapa ni penye mnara wa kumbukumbu wa mahali ambapo waziri mkuu wa zamani mpendwa wetu hayati edward moringe sokoine alipopatia ajali aprili 1984 sehemu za dakawa-dumila

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. michuzi kipekee nashukuru sana kwa hii picha yaani nilikuwa najiuliza sana alipatia wapi ajali yake najua njiani dom /mg lakini specific area nilikuwa siijui nakumbuka siku hiyo nilikuwa na miaka 8 lakini nakumbuksa kabisa mchi nzima ilizizima na hadi haliya hewa niliona kama ilichange ghafla kukaawaa kama mvua inataka kunyesha wakati ilikuwa jua kabla ni sehemu gani hiyo michuzi?

    ReplyDelete
  2. ok michuzi samahani sikusoma habari nzima kumbe ni dakawa dumila watu wengi washapatia ajali hilo eneo hatari sana sijui kuna nini? nakumbuka hata padri mmoja mzungu alikuwa famous sana dodoma Father IVO......alipatia eneo hilo

    ReplyDelete
  3. Hii kali,
    Yaani huu ndio mnara amabao SIRIKALI, ilitoa mapesa kuujenga, na wananchi walichangia kwa ajili ya kumbukumbu ya SOKOINE!!Aibu tupu.
    Banda langu la bata lina thamani kuliko upuuzi huu.
    Kila kitu ni wizi, wizi , wizi tu Pumbafu

    ReplyDelete
  4. Michuzi unajua alipo DUMISANI DUBE?Yule alisingiziwa kesi ya kumuua sokoine kwa ajali?
    Mzee wa watu walimuua tangu anatoka Dodoma, kesi anakuja pewa mpigania uhuru wa South Africa.Aibu nyingine tena!!!

    ReplyDelete
  5. Uongo mkubwa ulikuwa eti gari la Dumisani Dube lilikuwa linatoka barabara za pembeni! kwa taarifa yenu mimi huwa nikienda likizo huwa nachungia ng'ombe wa baba hapa, hakuna barabara yoyote inayoingia barabar kuu zaidi ya tuta, walitunga sijui ni nani hasa alihusika enzi zile, Dube katumika tu.Ninachoshangaa hawa Umoja wa Vijana, kila mara wanaahidi kupaendeleza lakini mavi matupu, ahadi za kisiasa tu, hivyo kwanini pesa za mbio za Mwenge wanazochanga zisitumike kujenga kituo cha maan! mnatudharau sana sisi wamasai, mtamuenzi nani sasa, tutafanya kikao morani wote tuombe tupewe wenyewe tumuenzi shujaa wetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...