shamim, mmoja wa ma-miss wa enzi hizo ambaye alitesa sana anga za ulimbwende

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. nywele aisee walikuwa wanaweka nini??madikodiko na masolosolo yalikuwepo enzi izo??demu alikuwa poa aisee..najua mama mtu..lol...

    ReplyDelete
  2. Hii nadhani ilikuwa nywele inasukwa kilimanjaro, halafu baada ya siku kadhaa inafumuliwa na inaachwa bila ya kuchanwa! Inatoka curly/wavy, whatever u wanna call it!

    ReplyDelete
  3. Huyu dada ana asili ya ushombe, namfahamu ndio maana nywele iko hivyo,nadhani alikuwa aidha ameolewa na Hussein Marsha siku za nyuma kidogo, au walikuwa boyfriend na girlfriend.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...