mfanyakazi wa mgahawa wa bunge dom akishusha bidhaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. someone tell me , thus not the main entrance door to the parliament?

    namaanisha hebu niambieni kama ule sio mlangu mkuu wa kuingilia bungeni.

    ReplyDelete
  2. aisee kumbe tuko wengi, ndugu hapo juu umeniwahi lakini ndio kitu cha kwanza kilichonijia akilini pia,hiyo ndio inaonekana kama ndio main entrance labda Michuzi atufafanulie zaidi
    yaani pamoja na kutumia mamilioni mambo ni kienyeji kienyeji vile vile, Michuzi hebu saidia kuwafahamisha wenzio ukiwa mheshimiwa tarajiwa, deliveries hufanywa mlango wa nyuma duniani kwingine koteee!!!

    ReplyDelete
  3. inaonyesha katika plan walisahau kuweka service door. kwa hio supplies na waheshimiwa wanatumia mlango huo huo :-)

    ReplyDelete
  4. Magari yote waliyonayo ofisi ya Bunge bado wanamuacha tenderer wao atumie Mkokoteni, hii ni ajabu na aibu, tutakuwa na jengo zuri lakini mambo chienyeji enyeji tu sijui mpaka lini, hadhi ya jumba hili haliendani kabisa na mkomkoteni, eti wanaokoa pesa kwa kumdhurumu mtu wa mkokoteni.

    ReplyDelete
  5. Wajameni Wabongo wenzangu mambo gani haya hata siajabu hata aliye na tenda ya samaki kwa ajili ya bunge anapitia mlango huohuo na Raisi and Spika wa bunge wanapishana nani kawahi kushika kitasa please this is Grosss

    ReplyDelete
  6. Miroast! Haya mambo gani tena?? Mi leo sisiemi naona hii nji ni ya wendawazimu. Sasa huko shule tunafuata nini. Hii sio issue ya umasikt ni swala lakufikiri tu. How comes! Wanaendesha magari ya millions then wakashindwa kufiklia au kukumbuka kuwa hakuna gari ya kupeleka bidhaa ambayo haita cost sh. mil.10. I think is just mater of being stupidness and carelessnes.!!

    ReplyDelete
  7. hahahahahaha this is funny !!

    ReplyDelete
  8. du aisee michuzi najua hii inaweza kukunyima ubunge kwa kuwachokonoa sana wabunge.ila tungeomba ukiweza piga picha za uko jikoni na kwenye vyoo aisee inawezekana wabunge wanatumia kopo chooni kubana matumizi.ila wanaonekana nje wako smart..wasije kuwa hata wanaumme soksi zimetoboka ingawa wanavaa suti..mambo gani haya ya aibu.

    ReplyDelete
  9. Aaa mwacheni jamaa naye apate ulaji kufa kufaana ati!

    ReplyDelete
  10. Michuzi kuna jamaa nasikia mbunge nani huyu Adam Malima hivi kachukua wapi kisarawe sio ntafurahi kuiona picha yake nimesoma naye Cuba mwaka 1982 alikuwa mtoto wa kihuni kweli i hope kabadilika longtime sio akina Lazaro Sokoine sijui nao wako wapi siku hizi

    ReplyDelete
  11. uwe mlango wa mbele wa nyuma mi sielewi kinachoendelea hapo hata pick up limekosekana kweli kufanya hiyo kazi ni aibu jamani tena sanaa inasikitisha michuzi kama unaweza naomba uitoe hii picha kuna washikaji kibao niliwapa website hii nikawambia kuhusu hili jengo la bunge na wakaliadmire sana sasa wakiona hayo yanayoendelea itakuwa hatari mimi mwenyewe najisikilizia noma sijui sitta inakuwaje? ahhh jamani kichwa hiii shurti kijipange vizuri huwezi kutumia mabilioni ya fedha alafu ukatia aibu kwa kuweka mkokoteni hapo mbele kama tumeamua kujitutumua tunazo(wakati hatuna) basi mstari uwe mmoja lakini anyway hii inakumbusha methali ya mababu zetu isemayo...NJIA YA MWONGO NI FUPI umaskini umaskini tu umejifanya wee kujenga jengo lenye kila aina ya sifa wakati kuna vitu basic hujavitatua sasa matokeo yake ndio hayo.....

    ReplyDelete
  12. Ni sawasawa na kuvaa suti ya milioni moja chini kandambili mzee.

    ReplyDelete
  13. Mzozaji kweli una ugwadu, hadi matusi ya Captain Haddock!!!?? hamna noma na kufeel babu, mambo ya aibu kabisa, halafu yaani hao waheshimiwa wanaona kila siku lakini wameuchuna tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...