Foreign Affairs and International Cooperation Minister Dr. Asha-Rose Migiro today handed over to Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu the National flag ahead of the Miss World pageant slated for Poland. Behind them is the Patron of Miss Tanazania who is also the Executive Director of Tanzania Investment Centre, Mr Emmanuel ole Naiko and the other is Vodacom's Ephrahim Mafuru.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Sijui kama atafanikiwa.

    ReplyDelete
  2. huyu wema sio mbaya jamani wabongo matakuja kuabika,hata last year watu walidai ooh nancy ana uso mkubwa sijui mfupi,alipotwaa umiss Africa ndio akawa mzuri

    ReplyDelete
  3. mtoto mzuri sana!!all the best!!

    ReplyDelete
  4. KILA LA HERI BINTI!

    ReplyDelete
  5. Jamani!! mbona mrembo wetu kapewa bendera ya mezani???????????

    ReplyDelete
  6. Miss World ni shindano la hali ya chini sana toka Marekani wajitoe. hata mshindi wa hili shindano huwa hapati mikataba ya hali ya juu. Kama kweli tunataka kushindana basi tupeleke mrembo wetu - Miss Universe ambayo sasa hivi ndio imeshika moto.
    Mwaka huu kachukua binti toka Purto Rico (Unguja) hakuna cha miss Africa, Asia wala Ulaya ktk shindano moja.

    ReplyDelete
  7. This lady is very beautiful, I will find an opportunity to talk to Hon.Dr. Asha migiro if she can spend a month or so to London while in preparations of miss world pageant, I will incur all her expenses while in the G.Britain. It is in my interest to help all my fellow Tanzanians who have shown special abilities in different aspects. I hope this time will get much better cooperations with foreign affairs than the one I got from Mr. Tenga and Mwakalebela.

    ReplyDelete
  8. We mtu uayejiita Jack Pemba una matatizo. Uongee na Asha Migiro umeambiwa yeye ndiye mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania? Waziri wa mambo ya nje tangu lini akawa mratibu wa miss TZ? Halafu usipojibiwa uanze kulalamika hukupewa ushirikiano wakati pumba zako umezituma ndiko siko? Kama ni kweli ndiye weye uliyekwaruzana na akina Tenga naanza kuona sababu za wao kukutolea nje.

    ReplyDelete
  9. You call yourself JACK PEMBA,try to show a good heart to your fellow Tanzanian and you 4got ur own mama hivi wewe,4 sure let me tell you hakuna en thawabu ur getting in this world zaidi ya lawama za your mama,if not her u couldnt b in tha world you are today trust.Take care brother do everything u think you can do but never ever abandon your parents especially mama even if she did wat.

    ReplyDelete
  10. Ahh No!!.Not again Mr.Pemba.We are actually fedup with your gimmicks.We understand that you are the type of a person who loves to attract attention (attention seeker).Please dont ruin preparations of our lovely Miss TZ for the forthcoming Miss World contest.Just a word of advise Mr Pemba.Why dont you spend your money in helping poor members of your family back in Tanzania instead of involving yourself in publicity stunts like one with TFF?Tenga was right.You are not a person of any integrity and dignity.You have badly let down our boys and I feel sick when I read that you want Miss TZ to spend a month in London at your expenses.Warning to Asha Rose and Hashim Lundenga - dont let this man ruin participation of Wema in Miss World.He is not to be trusted.He is a conman of the highest order.Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  11. Wewe Mr Pemba acha upuuzi wako...Misifa hiyo itakuua badala ya kusaidia ndugu zako unajifanyanya nyoko nyoko miss Tanzania.
    Wewe kama umemziomikia dada wa watu sema tu sio kutafuta visingizio vya ooooh nasaidia watanzania.
    Koma na ulegee

    ReplyDelete
  12. Mbona waziri wetu kavaa kiuni, yaani suti anakukunja mikono kama Lonel Richie enzi zake zile....

    ReplyDelete
  13. acheni wivu mbona nyie hamsaidii,mimi namjua huyu jack pemba london ila kuna watu wanajidai wanashindana nae wakti wamechoka sana labda wanachoweza kuhimili ni kununua gari kama lake ila hwanfikii,yeye si mtu tajiri sana ila anaplan za maana just gimme him chance tatizo mbongo mpaka abebwe live ndio anashukuru mpeni moyo acheni kupinga wakati nyie hamfanyi kitu chochote kazi kutoa offer za lager pumbavu

    ReplyDelete
  14. Matusi yanakutoka kama huna akili nzuri!!! Sio vizuri hivyo Emergencypoison; jiheshimu kidogo, looh....

    ReplyDelete
  15. Kama ni kweli ndo huyo bwana Jack mwenyewe amecomment hapo juu, namwonea huruma, he should know better.

    ReplyDelete
  16. MH. Jack PEMBA. Unaonaje hiyo Pesa ya kumuweka Miss Tz London kwa mwezi mzima usijenge shule hapo bongo hata ya vidudu? hapo si utakua umesaidia waTz wengi kwa mpigo??? Kama nia yako ni kusaidia wabongo basi fanya hivo ila kama una plan nyingine basi Pole kwa kukuingilia Mkuu. Mimi ni mpitanjia tuu.

    ReplyDelete
  17. Mbona Watanzania mnakuwa na wivu wa kijinga namna hiyo wacha ampeleke huko Ulaya,wewe kinakuuma nini? na wewe unayelaumu na kutoa matusi umetoa msaada gani au umechangia nini?,sio kulaumu tu. Sioni kosa lolote kwa Jack Pemba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...