kuna kampuni mpya ya uhusiano iitwayo xpoint imeingia taun kwa kishindo na ubunifu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi una ubia humu naona.... mbona hao ..point na wewe yako ..point, mi nashaka

    ReplyDelete
  2. Si mnashudua wenyewe, michuzi na X point kila mahali, anatuzidi hata wa ughaibuni.

    ReplyDelete
  3. Michuzi wewe si mchezo. Kampuni haina hata mwezi umeshapata details.
    Thanks kwa kutuweka up-dated.
    Sasa hizo T-shirt mnatumia wenyewe?

    ReplyDelete
  4. Michuzi, mtu akitaka production ya X-Point, Call +255 713 900000.
    Thanks.

    ReplyDelete
  5. Huyo jamaa wa pili kulia amefanana sana na mshikaji mmoja anaitwa Deo. Zamani alikuwa crew wa Alliance Air. Je ndio yeye?
    Nimekuwa nikimtafuta sana tangu kufa kwa shirika la ndege la Alliance Air.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...