chinga mzigoni. mwisho wa mwezi huu wameshaambiwa wasionekane katikati ya jiji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sasa vipi serikali inatengeneza ajira za vijana hawa au basi kuwafukuza downtown...afadhali hawa "chinga" wanatafuta riziki zao kwa njia hii kuliko kuwa "vibaka"

    ReplyDelete
  2. wengi pia wako vibaka kati ya hao wenye kuuza pita TAZARA

    ReplyDelete
  3. Nilienda Jamaica na nilikuta Machinga type wa huko wanauza vitu hivyo hivyo. wanapita kwenye magari yalioko kwenye trafiki na wanauza karibu kila kitu, nguo, sabuni, circuit breakers etc.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...