babu akiangalia gemu sehemu za magomeni lango la jiji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. huyu mzeee anaipenda LIVERPOOL FC tokea enzi za akina ian rush, writh,rudock,burners,bruce...the teh vipindi vya mpito

    wale wapenda liver mnakumbuka roy evans na kiwango walichokuwa wakicheza vijana wa liver enzi zile..pata picha kikosi cha sasa kingeweza kucheza vile........

    ReplyDelete
  2. Michuzi angalia wenzako wa mitaani tu wanavyoandika majina kiuhakika, kimataifa, kwa herufi kubwa na barabara kabisa!
    Unataka kuniambia wanaingiza hela kukuzidi ndio maana, maana wabongo hamkosi sababu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...