mpuliza saxi mashuhuri mafumu bilali bombenga 'supa sax' bado anatesa na bendi yake ya african bits kila alhamisi pale slipway. huyu ndiye aliyepiga mdomo wa bata kwenye nyimbo zote za dar intaneshno ya marijani rajabu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wazee bongo naona wanarep sana marappers za marekani. Juzi tumemuona mtu amevaa kofia ya g-unit, huyu naona ana tupac. Cha kushangaza, ni watu ambao ni very unlikely kuvaa mavazi hayo, I aint hating though!

    ReplyDelete
  2. Naona SAX anasikia barriiidiii plae fasi ya kichwa eehhh???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...