sijui jei ziii naye akija bongo mwezi ujao itakuwa hivi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Itakuwa sterehe tu....duuh ! tuna misi vya nyumbani....

    ReplyDelete
  2. Chagueni watu bomba basi sio kama huyo dada wa kwanza, kipepsi fii!

    ReplyDelete
  3. sasa na huyu mwanaume vipi kutaka kupigwa picha na ja rule na totos naye totos nini? maana hapo ni ladiess wakiwa na jarule ndo picha ingejieleza vizuri bro vipi ahhh kumbe janguo !!!

    ReplyDelete
  4. Huyo mkaka ni Iddi Janguo.

    ReplyDelete
  5. Anony 9:24 nimeona hoja yako juu ya kipepsi cha dada hapo juu. Hayo ni mambo ya kawaida na najua na wewe unajua hivyo. Vipepsi, magoti na matako vina kawaida ya kufifia zaidi ya sehemu nyingine ya mwili. Lakini hata kama ingekuwa ni jambo la tofauti tungelazimika kuita kitu hicho ulemavu. Kwa jinsi ninavyokufahamu na hekima zako sitarajii kuona unacheka walemavu achilia mbali kushangaa vitu vya kawaida.

    ReplyDelete
  6. oi kumbe ni la aziz wangu barbie.na huyo dada mwenye kipepsi anapenda kweli kuchjeka.nikiandika jina lake hapa ataninyonga kwahiyo nitamezea tu....

    ReplyDelete
  7. Mimi naona mwenye matatizo ni MICHUZI kwa sababu amekuwa akipiga kelele kila mara watu wasitumie lugha ya matusi katika blog yake lakini imeshindikana, sasa ningemshauri kama kuna utaalamu angefanya ili message za matusi zisiweze kuwa posted basi tungefurahi sana. Sijaona ubaya wa picha hata moja iliyo kuwa posted na bwana MICHUZI lakini naona aibu sana kwa kusoma matusi machafu na hakuna hatua anazo chokua kuifanya hii blog isiwe na hayo matusi. Bwana MICHUZI wengine tuna watoto wa umri mdogo ambao kila mara wanapenda kuingia katika blog yako kujionea maendeleo ya Tanzania ukizingatia wameondoka wakiwa bado wadogo na wanaipenda bado nchi yao sasa wanapokutana na matusi mazito katika blog yako na wewe kama mmiliki wa hii blog umeshindwa kabisa kuonya kwamba yeyote atakaye ingia katika hii blog na kupambana na matusi ni hiari yake! Nakushauri Mzee michuzi utafute mbinu kitaalamu kuzuia haya matusi kwa kweli yanawa affect sana watu ambao una post picha zao, na wengine sisi tunao ingia kwa nia njema kuangalia blog yako. Usipo angalia italeta chuki miongoni mwao na wewe mwenyewe. Kuna blog nyingi zinaweza kuchuja comments za watu kabla ya ku postiwa kwa hiyo hata wewe MICHUZI ungeweza kufanya vivyo hivyo. ASANTE SANA BROTHER MICHUZI NINATOA MAONI TU

    ReplyDelete
  8. mimi pia nina blog.mtu kama hutaki comment za matusi unaweza kudelete.i guess michuzi hana taabu nazo...

    ReplyDelete
  9. Duu!!Hii Kali siwezi kupiga picha na mke wangu wa ndoa pamoja na JaRule ,IJ Hilo ni kosa la jinai.
    Huyo JR mke wake mwenyewe hamwamini-inakuwaje we ,unamwachia upenyo-choo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...