Home
Unlabelled
chipolopolo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hii picha ni ya lini maana nimesikia huyu jamaa anaitwa banza yuko hoi kwa kitanda!
ReplyDeletemichuzi unalo lolote la kutwambia kuhusu huyu mheshimiwa na hali yake anavyoendelea? maana sisi wapenzi wa sauti yake tulio huku ulaya tunamuombea mungu amsaidie kama hizi taarifa tunazopewa na vyombo vya habari ni kweli?
We usiseme Banza Mchafu
ReplyDeleteJamani hali ya Banza ni nzuri kwa sasa jana nilikuwa pale sinza kwa Mama yake na niliongea naye sana, Jamaa amepungua sana, sasa hivi ana kazi ya kuurudisha mwili wake na Daktari amemzuia kupanda jukwaani kwa sasa, Banza anadai ameli-miss sana jukwaa la chipolopolo, Michuzi ukienda pale huwezi kumuona maana mapaparazi wahatakiwi kabisa, hata mimi nilipata tabu sana kumuona, nililetewa mizengwe lakini inshaalah nilifanikiwa kumuona
ReplyDeletekwa hiyo ndiyo amekwisha hivyo....maskini banza.nini tena jamani katika ujana huu unakula vitu visivyo liwa.
ReplyDeletepole mwana kwetu. sie wazushi tukitua mjini tutakuja kukucheki.
inshaalah mungu akulinde.
Wanablogu ,
ReplyDeleteMimi nina swali moja tuu kwa nini bongo mtu akishaanza kupata hela basi na chance za yeye kufa ndio zinaongezeka ? Hii ni tofauti sana na nchi magharibi.
unamaanisha nini?
ReplyDelete