wanamuziki wa bendi ya inafrika ni hodari pia katika ngoma za utamaduni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nawaheshimu na kuwapenda sana hawa jamaa wa Inafrika.Michuzi ukikutana nao tafadhali waulize kama wana mpango wa ziara ya nje siku za karibuni?

    ReplyDelete
  2. Hizi nguo nimezipenda sana, zinzpatikana wapi, hebu tufahaimshe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...