judith daines wambura isambai mbibo akiwa katika pozi ya kuandaa kava albamu yake ya 'shukrani' itayotoka hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Umependeza dada Jide.

    ReplyDelete
  2. Very nice picture and concept .... maybe pull back a little bit and zoom in for close up.

    ReplyDelete
  3. thanx gary, i appreciate. will do

    ReplyDelete
  4. Picha pamoja na mahudhui yake nimeikubali ,Hongera sana!

    ReplyDelete
  5. Out of all the pics, I like this one the best.

    ReplyDelete
  6. yes this is the ebst but more zoom !!! she look great with make-up

    ReplyDelete
  7. Hebu ondoa sura ngumu hiyoo!!!!!!!!! Yaani my bro unachemsha kama nini kuweka wachovu wachovu wa Bongo. Weka picha za maana watu wa nje ya Tanzania waone wabongo walivyo bomba siyo sura ngumu kama hii ya Jdee. Hovyooooooooooooo

    ReplyDelete
  8. umependeza at least picha hii umekaa kiheshima maana huna heshima hata chembe unapenda kuweka tumbo/kitovu chako nje kila wakati. nadhani ndoa na Gadna Jihabash imekusaidia maana tulishalichoka tumbo lako hilo lililokaa kama la mzee... Endelea kupiga picha za heshima jide sasaumekuwa mtu mzima sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...